peedee dise
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 203
- 124
Kweli lliuwe mwanasiasa lazima uwe na kaunafki fulani hiviHawajipendi kwani? Wanaugulia kimya kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli lliuwe mwanasiasa lazima uwe na kaunafki fulani hiviHawajipendi kwani? Wanaugulia kimya kimya.
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.
Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani
Kuna moja ilishawahi kuzuiwa Canada na akaja ije ishindwe kurudi hii ya hapo bondeni?,ni swala la muda tu,Mark my wordMarekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.
Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani
Yaan Ramaphosa kamtosa mwenyekiti mchana kweupeee!!
Nasikia na yeye anajipapatua na kashfa ya rushwa!!!!
Hatari tupu.
Hivi hujiulizi ,mbeki alivuliwa urais namahakama,Zuma naye namahakama.hajipendiMwenyekiti na Ramaphosa ni maswaiba San. I hope Ramaphosa atatoa agizo la kuachiwa soon
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.
Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani
Sasa uzuri wa katiba za wenzetu urais linakuwa sio SUALA BINAFSI la rais hata kama fomu za kugombea hakwenda kuchukua na mtu kama Tanganyika.Mwenyekiti na Ramaphosa ni maswaiba San. I hope Ramaphosa atatoa agizo la kuachiwa soon
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.
Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa hiivi. Maana Kabendera mmemfungia gerezani
Ahahahah nimejikuta nacheka, utafikiri mazuri.....KAZI IPO!!!Acha kuomba dua mbaya wewe mnafiki kabisa. Lazima hii nchi iendelee mtake msitake, mfe muwe hai hii nchi lazima kila mtanzania awe na maisha bora.
Wewe ni wa wapiKule mihimili inanguvu yake.siokwenu huko
In the name of Jesus....Majizi yanatapata kuiombea nchi mabaya....
PEPO TOKAAAAAA!!!!
Kuna Nchi nyingine Rais hana mamlaka juu ya maamuzi ya Mahakama. Bongo darisalama maamuzi kama hayo lazima simu zingepigwa kwa Jiwe kuomba go-ahead. Tunafeli sana sisiIle reception aliyopewa mr Rama kumbe ilikuwa ya kuomba huruma
Kwani hujui tunapokwama mkuu?Sisi tunakwama wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watachukua hadi burigi
Acha jazba bibie.Acha kuomba dua mbaya wewe mnafiki kabisa. Lazima hii nchi iendelee mtake msitake, mfe muwe hai hii nchi lazima kila mtanzania awe na maisha bora.