Pole, Na Karibu Kaanani Mpya na Makao Mapya! Cry no more!. (For those who are living in the future!)

Pole, Na Karibu Kaanani Mpya na Makao Mapya! Cry no more!. (For those who are living in the future!)

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
4,368
Reaction score
9,937
Ni wengi tuliokuwa nao katika hii safari, wachache wametuacha siku chache tu zilizopita...kimwili hatuko nao, kiroho tuko nao...mashujaa wetu...wengi walitamani kuifikia hii nchi ya ahadi, lakini wametuacha.... tufurahi pamoja katika nchi mpya ASEMA BWANA WA MAJESHI!...

Jaribu kuishi nami mbele ya muda uyashuhudie haya niyaonayo na ulitukuze jina Mungu Baba....!

Jitubandia @ 04/11/2025.
 
Tar 4 Nov '25 itaangukia jumanne. Samia ataapishwa Dodoma
 
Back
Top Bottom