Pole na samahani sana wananchi wa Uganda

chawa wa mama

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
292
Reaction score
1,084
Miaka ile wakati Dr. Kiiza besige akipigwa hadharani na polisi wa Uganda huku wakimweka kizuizini wakati wa kampeni na katika maisha yake ya kawaida, kwa kosa la kushiriki siasa na kugombea nafasi ya urais, niliwaona waganda ni wajinga.

Nilikuwa najiuliza inakuwaje Waganda wengi ambao ndio wanapenda chama mbadala kiingie madarakani wakubali mgombea wao apigwe hadharani? Niliwaona hamnazo sana.

Mambo yamebadilika sana, niliwakosea waganda. Niliwahi kuwakejeli kwenye mitandao yao kule kuwa ni 'wanawake dhaifu'. Leo yamenikuta mie sasa. Napata ubatizo wa moto wa jahanamu. Sijui hata hatma yangu. Nina miaka 5 home na ka degree kwangu ka mass administration.

"Aliyejipa nchi" hana mpango na wananchi wake, mtemi ile hakuna mfano, hasikii la mnadi swala. Hakika niliwakosea sana waganda wakati ule.

Lakini pia nawaona awamu hii bwana mdogo Chakulani anayopitia, msalimieni Museveni mwambie ni alikuwa Bokasa, Mobutu, Iddi Amin, Mugabe, Gadafi, lakini wote hawapo na hawana heshima tena hata makaburi yao.
 
Miaka ile wakati Dr. Kiiza besige akipigwa hadharani na polisi wa Uganda huku wakimweka kizuizini wakati wa kampeni na katika maisha yake ya kawaida, kwa kosa la kushiriki siasa na kugombea nafasi ya urais, niliwaona waganda ni wajinga...
In April, the unemployment rate in the United States increased sharply to 14.7 percent, the worst since the Great Depression of the 1930s. About one in every seven Americans in the labor force was out of work. ... But nearly 4,147,000 unemployed people were not on a temporary layoff, an increase of 1,584,000 since April.Sep 12, 2020.

UK Unemployment Stats and Graphs - Economics Help
20 Mar 2020 — General causes of UK unemployment With falling real GDP, firms are producing less and therefore, there is less demand for workers. Also in a recession, some firms go out of business causing people to lose their jobs. Structural factors. There is structural unemployment due to the fast-changing nature of the economy.

Na hata huko majuu au nchi zilizoendelea watu wanafanyakazi tofauti na walivyo soma.
 
In UK they have the Jobseeker's allowance which covers the living expenses for those who are out of work
 
In UK they have the Jobseeker's allowance which covers the living expenses for those who are out of work
Sasa wewe na akili yako hiyo job seekers allowance inatoka kwenye mti? Si inazalishwa.

Wewe kwa ajili yako unataka Baba yako akulishe toka uko mdogo mpaka unazeeka, wakati theory za kiuchumi haziruhusu hiyo concept, wewe ukisha maliza masomo kajitegeme, mpunguzie Mzee mzigo naye ajitayarishe kwa retirement yake.
 
In UK they have the Jobseeker's allowance which covers the living expenses for those who are out of work
Nadhani wale wameshakamilisha mambo ya umeme, barabara, maji n. k., hivyo wanayo pesa ya kutosha kutoa posho hizo.
 
Sawa mkuu
Izo Unemployment benefits wanapewa watu ambao wako out of work temporarily kwa sababu za kiuchumi.
Kama mtu ameacha kazi mwenyewe au kafukuzwa kazi hapewi izo benefits.
My point is the unimployments effects on the african society are more serious
 
Lakini in Africa kama Tanzania, kuna alternative means of engaging yourself in a productive activities, kama ukulima, ufugaji, agro processing n.k n.k

May be the weakness on the government ni kutoa support ya kuwa wezesha watu waweze kufanya hivyo , badala ya kutoa tu kauli , bila training na working capital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…