POLE POLE!!

POLE POLE!!

Helicobacter pylori

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
424
Reaction score
283
"Pole pole" ni neno lenye mkanganyiko sana kimaana na hasa zaidi katika matokeo yake, mfano kama ni chombo cha moto/kiumbe hai huwezi jua kinasimama, kinazima au kinakwenda mbele, kinakata kona kubadili uelekeo, kurudi kiliko toka, kwenda kusikotarajiwa.
Kiufupi hakieleweki na kinazua mkanganyiko katika kuchukua maamuzi.

Kama unaharaka mtu anakwenda "Pole pole" atakukwamisha, na sa zingine atakufanya ujiulize maswali huyu mtu anakwenda ninapokwenda?.

"Pole Pole" hukatisha tamaa, huvuruga matarajio na hufanya Makubwa ya kushangaza na hiyo ndio tabia ya neno "Pole Pole".
Kwa mtazamo wangu usiamini sana mpaka litakapokua maneno yanayotoka kwa mtindo wa "pole pole"

Kwa tabia yake, matendo yake, na uwezo wa jicho lake, ulimi wake hufanya kiumbe huyu kubebe maana yote ya neno "Pole pole "

Hili neno "POLE POLE" limenisumbua sana na mpaka nimefika hitimisho kua utakachokiona kwenye picha hii ndio maana HALISI ya neno "POLE POLE "

Na kama inawezekana tumbadili jina na tumuite "POLE POLE".

Aksanteni.

7d8a37324e5a697e47b144b6c56e4a28.jpg
 
Back
Top Bottom