Pole sana Dkt. Mashinji wenye akili tulijua huna safari

Egnecious

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
899
Reaction score
999
POLE SANA DK. MASHINJI
WENYE AKILI TULIJUA HUNA SAFARI.

Nakupa pole nikiwa nakushangaa kwa kushindwa kutumia elimu yako kusoma alama za nyakati, na mshahara wake ndio huo.

Pamoja na juhudi zako kubwa za kuhakikisha watu waliotaka kugombea uenyekiti wanatandikwa mapema na figisu nyingine kibao zilizokuwa zinapangwa na Mwenyekiti wako Freeman Mbowe zinafanikiwa, umeishia kutemwa kwenye Ukatibu Mkuu.

Nakuonea huruma kwa sababu umeng’oka ukiwa unakabiliwa na kesi na navyowajua hao jamaa hili unalo. Umeula wa chuya.

Sasa utaamini maneno uliyoambiwa mara nyingi kuwa hicho chama ni mali ya watu, wewe uliegeshwa tu hapo na kwa bahati mbaya ukajidanganya kuwa kwa kuoa mke kule Hai itakupa uhalali. Pole sana.

Nadhani sasa utarejea katika kazi yako ya udaktari ili uwaponye Watanzania ambao uliwadhurumu haki yao ya kukosa huduma yako hasa ikizingatiwa kuwa umesomeshwa kwa kodi zao.

Kwa kuwa upo kijiweni sisi wananchi wenzako wa Mwanza na Geita tunakukaribisha, bahati nzuri Serikali ya Magufuli imehamasisha wawekezaji wajenge viwanda vya juisi kwa hiyo kuna soko la uhakika la nanasi, njoo tulime.

Na hizi ni salamu kwa wengine mliopo kwenye hiyo SACCOS ambao sio wa makabila na ukanda ule. Ni suala la muda tu. Bila shaka ule mlipuko wa kushangilia kuteuliwa kwa John Mnyika umewapa ujumbe.

Na hata wale mliokuwa mnajidanyanya kuwa kwa kuoa wake wa makabila hayi ndio mtakuwa salama. Mnajidanganya. Jifunzeni kwa Kafulila, Mashinji, Sumaye na wengine walioshughulikiwa hapo CHADEMA. Maana kuna watu unawaangalia wanavyofoka utadhani hataondoka.

Kwa wasiojua mashinji ni neno la Kisukuma lenye maana ya nywele ndefu zilizochanwa, Baba yake Dk Mashinji ni Msukuma na Mama yake ni Mnyiramba. Bila shaka Dk Mashinji ameponzwa na jina lake la Kisukuma, jamaa wakaona huyu sio mwenzetu. Laiti Baba yake angejua asingempa jina la Mashinji.

Pole sana Dk Mashinji.
Karibu uraiani, bila shaka sasa macho na masikio yako yataanza kusikia ukweli wa maendeleo makubwa yayonaletwa na Rais Magufuli maana kule ndani mlikuwa mnaaminishwa kuwa hakuna kinachofanyika.

Karibu uone reli ya kisasa inajengwa, bwana la Nyerere linajengwa, wanafunzi hawalipi ada, daraja la Busisi-Kigongo linajengwa, ndege zinanunuliwa, hospitali zinajengwa, vituo vya afya vinajengwa, madarasa yanajengwa, rushwa inakomeshwa, watumishi wa umma wana nidhamu, serikali imehamia Dodoma, bandari zinajengwa, viwanja vya ndege vinajengwa, barabara zinajengwa, viwanda vinajengwa na watu wanachapa kazi kujenga nchi.

Kila la heri Dk. Mashinji.

Mimi ni George Mwakasuka
Mkazi wa Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM hamuwezi kukaaa na kutulia.

Haya Fursa ya kumnunua Mashinji ipo wazi, tafuteni dalali mapema!
 
Unamkaribisha kama ametoka nje ya nchi au kuzimu maana hata ,gerezani wanapata taarifa ya ambayo yanaendelea.....hizo ni akili za kuoza.
 
Kwani John Mnyika ana asili ya wapi? (Samahani kwa swali hilo)
 
Wote tumesikia kuwa dr Mashinji ameenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu mkuu na badala yake hiyo nasafi amezawadiwa mbunge wa kibamba John Mnyika, kulikon mbona Mashinji ametumbuliwa gafla hivyo nini sababu?

Kwa habari za ndani ya CHADEMA zinaeleza kuwa Mbowe alikuapatani na Mashinji kutokana kuwa Mashinji alikuwa anahoji kuhusu matumizi ya Ruzuku ya chama inavyotumika na michango ya wabunge wanayokatwa katika posho zao zinakwenda wapi? Pia mbowe alikuwa anamuingilia mashinji katika majukum yake katika kazi kitu ambacho dr Mashinji akukubaliana nacho ndipo kukatokea sintafahamu kati yao.....Acha ile sababu ya mashinji kuhoji demokrasia ndani ya chama mbona ipo chini au hakuna kabisa tofauti na kile wanacho hubiri hadharani.

Pia lazima,ujuulize kwa nn wabunge wote wa chadema wamegombea nafasi katika kamati kuu au uongozi wa juu ilhali wao ni wabunge je chadema hakuna viongozi wengine wakushika hizo nafasi ila ni wao wenyew tu wabunge? Wabunge wote wamepigania kuwa wajumbe wa mkutano mkuu au kamati kuu na wengine waliokosa hizo nafasi basi wameteuliwa kuwepo katika kamati kuu na mkutano mkuu bila sababu wala maelezo ya kutosha.
Huu ndo mwisho wa CHADEMA nyie subilini hakuna wapinzani pale kuna wachumia tumbo tu.
 
DAT BOY SU,

Watu wamesha shutukia uongo siku hizi baada ya Mbowe kubaki mnatafuta mengine. Bahati mbaya watu wanajua Mbowe si masikini wa pesa kwanini aibe wakati hana shida😴
 
Habari za ndani ya chama kisichokuhusu wewe usiyejua hata mpangilio wa sarufi unazipata wapi?
 
Umeileta hii mada kihisia na kishabiki zaidi huku ukiwa huna ushahidi wowote ule wa kujenga hoja yako!
 
Freeman Mbowe amefanya uamuzi sahihi kumtoa Mashinji

Mashinji hajawahi ku fit kwenye nafasi kubwa kama ile

Mbowe alikosea kumteua Mashinji na tulipondwa sana kwa kumkosoa Mbowe kwa uamuzi wake wa kumteua nafasi kubwa kama ile mtu wa aina ya Mashinji ( amepoa sana )

Kosa hilo amerudia kwa kumteua Mnyika

Mnyika amepoa sana na kwa sasa atapoa zaid kutokana na aina ya shughuli za kiuchumi anazofanya

Benson Kigaila alifaa sana kuwa Katibu Mkuu wa Chadema

Huyu nilimjua na kumfuatilia sana wakati wa Siasa za Dr Slaa, nilimfuatilia sana Dodoma kwenye Siasa zake na hata kwenye Operation kadhaa kama ya Sangara

Ana Siasa za ki Max, hata kwa nafasi ya Naibu katibu Mkuu pia anaweza kufanya Makubwa sana

Siasa za Bw. Magufuli hazihitaji watu kama kina Mnyika , Mnyika angefaa sana kama tungekuwa na Rais kama Aman Karume au Jakaya
 
POLE SANA DK. MASHINJI
WENYE AKILI TULIJUA HUNA SAFARI.

Nakupa pole nikiwa nakushangaa kwa kushindwa kutumia elimu yako kusoma alama za nyakati, na mshahara wake ndio huo.

Pamoja na juhudi zako kubwa za kuhakikisha watu waliotaka kugombea uenyekiti wanatandikwa mapema na figisu nyingine kibao zilizokuwa zinapangwa na Mwenyekiti wako Freeman Mbowe zinafanikiwa, umeishia kutemwa kwenye Ukatibu Mkuu.

Nakuonea huruma kwa sababu umeng’oka ukiwa unakabiliwa na kesi na navyowajua hao jamaa hili unalo. Umeula wa chuya.

Sasa utaamini maneno uliyoambiwa mara nyingi kuwa hicho chama ni mali ya watu, wewe uliegeshwa tu hapo na kwa bahati mbaya ukajidanganya kuwa kwa kuoa mke kule Hai itakupa uhalali. Pole sana.

Nadhani sasa utarejea katika kazi yako ya udaktari ili uwaponye Watanzania ambao uliwadhurumu haki yao ya kukosa huduma yako hasa ikizingatiwa kuwa umesomeshwa kwa kodi zao.

Kwa kuwa upo kijiweni sisi wananchi wenzako wa Mwanza na Geita tunakukaribisha, bahati nzuri Serikali ya Magufuli imehamasisha wawekezaji wajenge viwanda vya juisi kwa hiyo kuna soko la uhakika la nanasi, njoo tulime.

Na hizi ni salamu kwa wengine mliopo kwenye hiyo SACCOS ambao sio wa makabila na ukanda ule. Ni suala la muda tu. Bila shaka ule mlipuko wa kushangilia kuteuliwa kwa John Mnyika umewapa ujumbe.

Na hata wale mliokuwa mnajidanyanya kuwa kwa kuoa wake wa makabila hayi ndio mtakuwa salama. Mnajidanganya. Jifunzeni kwa Kafulila, Mashinji, Sumaye na wengine walioshughulikiwa hapo CHADEMA. Maana kuna watu unawaangalia wanavyofoka utadhani hataondoka.

Kwa wasiojua mashinji ni neno la Kisukuma lenye maana ya nywele ndefu zilizochanwa, Baba yake Dk Mashinji ni Msukuma na Mama yake ni Mnyiramba. Bila shaka Dk Mashinji ameponzwa na jina lake la Kisukuma, jamaa wakaona huyu sio mwenzetu. Laiti Baba yake angejua asingempa jina la Mashinji.

Pole sana Dk Mashinji.
Karibu uraiani, bila shaka sasa macho na masikio yako yataanza kusikia ukweli wa maendeleo makubwa yayonaletwa na Rais Magufuli maana kule ndani mlikuwa mnaaminishwa kuwa hakuna kinachofanyika.

Karibu uone reli ya kisasa inajengwa, bwana la Nyerere linajengwa, wanafunzi hawalipi ada, daraja la Busisi-Kigongo linajengwa, ndege zinanunuliwa, hospitali zinajengwa, vituo vya afya vinajengwa, madarasa yanajengwa, rushwa inakomeshwa, watumishi wa umma wana nidhamu, serikali imehamia Dodoma, bandari zinajengwa, viwanja vya ndege vinajengwa, barabara zinajengwa, viwanda vinajengwa na watu wanachapa kazi kujenga nchi.

Kila la heri Dk. Mashinji.

Mimi ni George Mwakasuka
Mkazi wa Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo upeo wako wa kufikiri umeishia? Yuko wapi Makamba sr, Mangula alikuwa wapi kabla "hajaokotwa' na jiwe,Kinana na waliomtanguliaBashiru? Elewe dhana ya demokrasia. Utumbo ulioweka hapo wauzie wajinga,werevu washajua malengo yako na wanaokutuma. Akili kama ya mtungi wa usajili vyama!
 
POLE SANA DK. MASHINJI
WENYE AKILI TULIJUA HUNA SAFARI.

Nakupa pole nikiwa nakushangaa kwa kushindwa kutumia elimu yako kusoma alama za nyakati, na mshahara wake ndio huo.

Pamoja na juhudi zako kubwa za kuhakikisha watu waliotaka kugombea uenyekiti wanatandikwa mapema na figisu nyingine kibao zilizokuwa zinapangwa na Mwenyekiti wako Freeman Mbowe zinafanikiwa, umeishia kutemwa kwenye Ukatibu Mkuu.

Nakuonea huruma kwa sababu umeng’oka ukiwa unakabiliwa na kesi na navyowajua hao jamaa hili unalo. Umeula wa chuya.

Sasa utaamini maneno uliyoambiwa mara nyingi kuwa hicho chama ni mali ya watu, wewe uliegeshwa tu hapo na kwa bahati mbaya ukajidanganya kuwa kwa kuoa mke kule Hai itakupa uhalali. Pole sana.

Nadhani sasa utarejea katika kazi yako ya udaktari ili uwaponye Watanzania ambao uliwadhurumu haki yao ya kukosa huduma yako hasa ikizingatiwa kuwa umesomeshwa kwa kodi zao.

Kwa kuwa upo kijiweni sisi wananchi wenzako wa Mwanza na Geita tunakukaribisha, bahati nzuri Serikali ya Magufuli imehamasisha wawekezaji wajenge viwanda vya juisi kwa hiyo kuna soko la uhakika la nanasi, njoo tulime.

Na hizi ni salamu kwa wengine mliopo kwenye hiyo SACCOS ambao sio wa makabila na ukanda ule. Ni suala la muda tu. Bila shaka ule mlipuko wa kushangilia kuteuliwa kwa John Mnyika umewapa ujumbe.

Na hata wale mliokuwa mnajidanyanya kuwa kwa kuoa wake wa makabila hayi ndio mtakuwa salama. Mnajidanganya. Jifunzeni kwa Kafulila, Mashinji, Sumaye na wengine walioshughulikiwa hapo CHADEMA. Maana kuna watu unawaangalia wanavyofoka utadhani hataondoka.

Kwa wasiojua mashinji ni neno la Kisukuma lenye maana ya nywele ndefu zilizochanwa, Baba yake Dk Mashinji ni Msukuma na Mama yake ni Mnyiramba. Bila shaka Dk Mashinji ameponzwa na jina lake la Kisukuma, jamaa wakaona huyu sio mwenzetu. Laiti Baba yake angejua asingempa jina la Mashinji.

Pole sana Dk Mashinji.
Karibu uraiani, bila shaka sasa macho na masikio yako yataanza kusikia ukweli wa maendeleo makubwa yayonaletwa na Rais Magufuli maana kule ndani mlikuwa mnaaminishwa kuwa hakuna kinachofanyika.

Karibu uone reli ya kisasa inajengwa, bwana la Nyerere linajengwa, wanafunzi hawalipi ada, daraja la Busisi-Kigongo linajengwa, ndege zinanunuliwa, hospitali zinajengwa, vituo vya afya vinajengwa, madarasa yanajengwa, rushwa inakomeshwa, watumishi wa umma wana nidhamu, serikali imehamia Dodoma, bandari zinajengwa, viwanja vya ndege vinajengwa, barabara zinajengwa, viwanda vinajengwa na watu wanachapa kazi kujenga nchi.

Kila la heri Dk. Mashinji.

Mimi ni George Mwakasuka
Mkazi wa Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM people are little miserable fvcks!
 
Back
Top Bottom