Pole sana Lawrance Mwalusako katibu wa zamani Yanga

Pole sana Lawrance Mwalusako katibu wa zamani Yanga

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Pole kwa kupoteza binti yako kipenzi Naomi kwa ajali.Alikuwa bado binti mdogo akiwa ndio kwanza amehitimu kidato cha sita mwaka huu.

Pole sana brother. Mungu akupe nguvu na familia yako.

Updates;

Leo nimepata taarifa jinsi ajali ilivyotokea kutoka kwa ndugu wa karibu na uzi huu hapa chini ulifunguliwa jana na mwenzetu humu kumbe ndio ajali iliyomuua binti huyu.....

@Ajali haina kinga: Nimeshuhudia watu wakigongwa na daladala
 
Pole ndugu... Bwana Mungu awatie nguvu familia yote!! Ni ngumu kupokea
 
Pole sana Uncle Mwalusako.
Nimestuka sana.
Naomi jamani..
 
jamani ni huzuni kubwa.

RIP Naomi

Poleni wazazi na ndugu
 
Inasikitisha sana aiseee
 
Nakuombea subira na afya kwa Mwenyezimungu wakati huu wa majonzi makubwa kwako.Kikubwa ni kumshukuru Mwenyezimungu kwa kazi yake isiyo na makosa.Pole saana ndugu yetu.
 
May God rest her soul in eternal peace. My deepest sympathy.
 
Pole sana Comrade Mwalusako kwa msiba wa binti yako.
 
Msiba upo kwake kaka Mwalusako Kibo/Rombo!RIP kalumbu Naomi nyota iliyo zimika ghafla kwetu
Likely mazishi yakafanyika kwenye "isyeto"lao kijijini Ikolo-Kyela!
 
Duh, Mungu amtie nguvu Mwakusako na familia ktk kipindi hiki kigumu.

Vv
 
RIP mpendwa NAOMI ,MUNGU WA IBRAHIM aipe nguvu familia ya Mwalusako na YANGA Family wote
 
Pole kwa kupoteza binti yako kipenzi Naomi kwa ajali.Alikuwa bado binti mdogo akiwa ndio kwanza amehitimu kidato cha sita mwaka huu.

Pole sana brother. Mungu akupe nguvu na familia yako.

Updates;

Leo nimepata taarifa jinsi ajali ilivyotokea kutoka kwa ndugu wa karibu na uzi huu hapa chini ulifunguliwa jana na mwenzetu humu kumbe ndio ajali iliyomuua binti huyu.....

@Ajali haina kinga: Nimeshuhudia watu wakigongwa na daladala

pole nyingi sana Lau pamoja na mama. Bwana alitoa sasa ametwaa, jina lake lihimidiwe.

nakukumbuka sana tulipokuwa tunapiga wote "kipute" kwenye timu ya chuo pale UDSM miaka ilee!

nawakumbuka team mates wengine akina Denis Mdoe (huyu sijui yu wapi siku hizi?), Leonard Thadeo, etc.

pole sana mwanafyale....
 
Back
Top Bottom