Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kupoteza binti yako kipenzi Naomi kwa ajali.Alikuwa bado binti mdogo akiwa ndio kwanza amehitimu kidato cha sita mwaka huu.
Pole sana brother. Mungu akupe nguvu na familia yako.
Updates;
Leo nimepata taarifa jinsi ajali ilivyotokea kutoka kwa ndugu wa karibu na uzi huu hapa chini ulifunguliwa jana na mwenzetu humu kumbe ndio ajali iliyomuua binti huyu.....
@Ajali haina kinga: Nimeshuhudia watu wakigongwa na daladala