Pole sana TID "Mnyama"

Pole sana TID "Mnyama"

Video: Msanii TID Ajisifu Kumkaza Wema Sepetu Akiwa Jukwaani..Mashabiki Nusura Wazire



Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitende cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu kitendo ambacho kilifanya baadhi ya mashabiki kujisikia vibaya na kuanza kumzomea
Sasa alisema kuwa kamkaza Ili iweje?

Sifa za kishamba
 
Punguzeni chips mayai.... Mtaishiwa kugongewa tu! Dume ziiiiima unalikuta linadonyoa vyepe, pimbiiiiiiiiiiiii
 
Angekuwa siyo teja ningemshauri kitu lakini hapo alipo hata aibu haijui.
 
Back
Top Bottom