Pole sana TID "Mnyama"

Pole sana TID "Mnyama"

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Huku tukiwa kila siku tunawahimiza Vijana kuwa mnapopata bahati ya kuanzisha Mahusiano na hawa Mabinti " Mastaa " wa Kibongo basi hakikisheni " mnawabandua " ipasavyo ili kuleta Heshima huwa mnaona sisi Kaka zenu " tunazoza " tu.

Katika hali isiyo ya kawaida kabisa na ambayo kila Mtu imemsikitisha hata sisi Wanaume aliyekuwa " Mnyange " wa Tanzania ( Mrembo ) Mwanadada Maarufu na anayetikisa nchini Wema Sepetu ameamua " kufunga " kinoma noma bila kupepesa, kutikisa wala kumung'unya kwa kusema kuwa katika Wanaume wote ambao amewahi " kubanduana " nao hakuna Mwanaume " aliyemboa " na ambaye hajui " kubandua " kama Msanii wa Muziki TID a.k.a Mnyama na kwamba ana " Kibamia ".

Mwanadada huyu Wema Sepetu alienda mbali na kusema kuwa amefanya Mapenzi na Wanaume kadhaa ila hadi hivi leo ( jana ) ni Wanaume wawili tu ambao amesema walimkuna na akakunika ipasavyo kama Marehemu Steven Kanumba na Mwanamuziki Maarufu Nasib Abdul a.k.a Diamond na kwamba hata kama Marehemu Kanumba angekuwa hai halafu hajaolewa nae na yeye kaoelewa na mwengine yeye angekuwa anafanya kila awezalo na hata kumtoroka " Mumewe " kwenda " kubanduliwa " na Kanumba. Wema akasema pia kuwa hata sasa anatamani mno " kubanduana " na Diamond ila " itifaki " tu ya Ratiba ya Diamond inamtatiza.

Hii aibu iliyomkumba TID naomba iwe fundisho kwa Vijana wa leo " Masharobalo " ambao huwa " mnashoboka " kwa hawa Wadada halafu hamjui " kuwakuna " kwani hii dharau au kashfa aliyopewa TID hakika imetuathiri Wanaume wote. Kila siku huwa nawaambieni mnapokuwa na hawa Wadada hasa Wasanii wenye " nyodo " jitahidini pia muwe mnapita na " mlango wao wa Uani " ili kuleta Heshima huwa hamtaki. Hivi mnadhani TID angegonga hodi " banda la Uani " la Wema Sepetu leo huyu Dada " angemdhalilisha " hivi " Mnyama? ".

Pole sana TID ila ukome " kuparamia " Wanawake usiowaweza!

Source: Gazeti la Mikasa la 21/9/2016 pata nakala yako ili " tusichoshane ".
 
TID had no business talking about long gone affairs publicly like that! He had that coming... nilivyosikia tu remarks zake kwa Wema nikajua time bomb is already set and ticking! Karma is a Bitch. Unashindanaje na mwanamke kuongea? really? Mwanaume unayejiheshimu unafanya kila linalowezekana kuepuka maneno na ma x! sio kuwachimba chimba.. he shud've known better
 
umesema vizuri..the guy fucked himself up..he wanted it..now he has to deal with it..what a shame
 
Unaweza kuwa na bamia lakini unajua kukaza

Nakubaliana na Wewe 100% Mkuu kwani nakumbuka wakati wa Kombe la Dunia la 2010 kuna Mwanadada mmoja hivi Mrembo na Mwanamitindo huko Marekani alifanya Mapenzi na Mchezaji Ronaldinho Gaucho " minjino " na kusema hadharani kuwa japo Gaucho ni TEAM KIBAMIA ila " Jamaa " anajua kufanya mapenzi hamna mfano na ameshakutana na " mikuyenge " ya maana mithili ya mchi wa kukandia Chapati lakini haijamkuna kama " kibamia " cha Gaucho na nakumbuka huyu Mwanadada alimpongeza mno Mke wa Gaucho baadae kuwa ana Mume " mtamu " sana mwenye kujua Mahaba na Mwanamke anataka nini Kitandani.
 
TID had no business talking about long gone affairs publicly like that! He had that coming... nilivyosikia tu remarks zake kwa Wema nikajua time bomb is already set and ticking! Karma is a Bitch. Unashindanaje na mwanamke kuongea? really? Mwanaume unayejiheshimu unafanya kila linalowezekana kuepuka maneno na ma x! sio kuwachimba chimba.. he shud've known better

Ila ukitaka kumaliza mzizi wa fitna kwa Mrembo au Mwanamke yoyote yule unayeona ni TEAM MASHAUZI Wewe ukiwa nae tu katika 6 X 6 hakikisha unagonga " banda la Uani " hapo utakuwa umemaliza Kazi. Halafu Mwanaume gani huyo Mjanja za zama hizi ambaye akiwa tu na Demu wake hapigi hodi " Bandani " ili Kuku " Watage " mayai? Nyie Vijana wa Siku hizi " mnanikera " sana na ndiyo maana hawa Wasichana Warembo wanawadhalilisha hivi kama alivyofanyiwa " Mnyama " TID.
 
Back
Top Bottom