Pole sana Wema Sepetu kwa yaliyomkuta mama yako

Pole sana Wema Sepetu kwa yaliyomkuta mama yako

Status
Not open for further replies.

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Nakupa pole kwa yaliyomkuta mama yako leo kuwekwa hadharani kwa ile video alopost Mange Kimambi kama mtoto utakua umeumia sana kama mm tuu nimeumia hivi sembuse wewe?

Jamani mama zetu nini kimewakumba mpk kujirekodi katika umri huu? Mnajua kabisa hali ya mitandao kwa sasa ilivyo na bado unapata wapi muda wa kufikiria kujirekodi na unachorekodi sasa ni mambo ya aibu uwiii.

Na Mange hii app yako itaua watu hebu achana na wazazi wa watu huyu ni mama wa mwenzio habari za kuchafua hali ya hewa ziishie kwa vijana huku.

Nashindwa kuupload video mpitie kwa page ya Mange kama hajafuta maana watu wanamuomba afute. Hapo hapo wengine wanasema aweke mbona kuna wazazi wa wengine wanadhalilishwa watu hawasemi?.Ila ki ukweli ni aibu.
Am out
 
Ielezee hiyo video mkuu inahusu nini mkuu mambo ya aibu ni yapi kayafanya huyo mama maana yapo mengi mambo ya aibu
 
Uzi bila Video hauna ishu.
Ile app waipige pin Tu TCRA na wafanyakazi wakamatwe maana ni udhalilishaji Tu unaoendelea kule na bullying ya Hali ya Juu.

Wakipost Wanaume tunaambiwa Sisi ni wadhalilishaji, haya huyo Mange mtamuitaje au ndio funika Kombe mwanaharamu apite.
 
Kwa hiyo unaona bora umpe pole peke yako!!
 
Uzi bila Video hauna ishu.
Ile app waipige pin Tu TCRA na wafanyakazi wakamatwe maana ni udhalilishaji Tu unaoendelea kule na bullying ya Hali ya Juu.
Mtu anisaidie kui upload hapa maana ipo instagram
 
Uzi bila Video hauna ishu.
Ile app waipige pin Tu TCRA na wafanyakazi wakamatwe maana ni udhalilishaji Tu unaoendelea kule na bullying ya Hali ya Juu.

Wakipost Wanaume tunaambiwa Sisi ni wadhalilishaji, haya huyo Mange mtamuitaje au ndio funika Kombe mwanaharamu apite.
Washaifungia kuitumia lazima VPN kama unaangalia porn
 
Aisee hivi ni wamama wa ivi kwakweli ni changamoto. Pole zao mwaya duh
Huyu mama hana heshima kabisa.
Kama umri huo bado hajaacha u..ma..laya basi anatia huruma...
Ndo maana watoto wake nao wako moto kweli kweli.
 
Kati ya anayeongea mambo hizo kwa umri huo na kujirecord na aliyeweka hadharani nani ni laanakum?
Na ingekua mama yako je.....kila mtu ana madhaifu yake Mange anachofanya ni ujinga tu kudhalilisha watu hamna mtakatifu duniani hata yeye ukute huko anafanya ujinga mwingi tu ila kabase kudhalilisha watu....mi sio Mungu sio Nabii lakini huyu dada Mange mbingu haioni akiendelea ivi
 
Vile unamlilia Mama Wema😁😁😁
IQOju.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom