Pole sana Wema Sepetu kwa yaliyomkuta mama yako

Pole sana Wema Sepetu kwa yaliyomkuta mama yako

Status
Not open for further replies.
Huyu mama kakaa sana Ulaya kwahiyo mi sioni shida mara moja moja akichemsha damu,hata mimi akija ghetto mbona tunafanya masuala kwani ana uzee gani hapo alipo
 
Uzi bila Video hauna ishu.
Ile app waipige pin Tu TCRA na wafanyakazi wakamatwe maana ni udhalilishaji Tu unaoendelea kule na bullying ya Hali ya Juu.

Wakipost Wanaume tunaambiwa Sisi ni wadhalilishaji, haya huyo Mange mtamuitaje au ndio funika Kombe mwanaharamu apite.
Mkuu tcra hawawezi kuipiga burn sababu ipo nje ya uwezo wao ni app ambayo ina licence za nje yani ilifunguliwa nje
 
Huyu mama hana heshima kabisa.
Kama umri huo bado hajaacha u..ma..laya basi anatia huruma...
Ndo maana watoto wake nao wako moto kweli kweli.
Kwa kweli anatia huruma mno, hatukatai wengi wanafanya ila jamani kujirecord kweli ili iweje ona sasa mtu mzima anaumbuka
 
hayo maneno kachomekewa, ukiangalia pronunciations ya mdomo haviendani na hayo maneno, msimuonee mama wa watu………….
 
Nakupa pole kwa yaliyomkuta mama yako leo kuwekwa hadharani kwa ile video alopost Mange Kimambi kama mtoto utakua umeumia sana kama mm tuu nimeumia hivi sembuse wewe?

Jamani mama zetu nini kimewakumba mpk kujirekodi katika umri huu? Mnajua kabisa hali ya mitandao kwa sasa ilivyo na bado unapata wapi muda wa kufikiria kujirekodi na unachorekodi sasa ni mambo ya aibu uwiii.

Na Mange hii app yako itaua watu hebu achana na wazazi wa watu huyu ni mama wa mwenzio habari za kuchafua hali ya hewa ziishie kwa vijana huku.

Nashindwa kuupload video mpitie kwa page ya Mange kama hajafuta maana watu wanamuomba afute. Hapo hapo wengine wanasema aweke mbona kuna wazazi wa wengine wanadhalilishwa watu hawasemi?.Ila ki ukweli ni aibu.
Am out
Mbona km una promote app
 
Na ingekua mama yako je.....kila mtu ana madhaifu yake Mange anachofanya ni ujinga tu kudhalilisha watu hamna mtakatifu duniani hata yeye ukute huko anafanya ujinga mwingi tu ila kabase kudhalilisha watu....mi sio Mungu sio Nabii lakini huyu dada Mange mbingu haioni akiendelea ivi
Huyo kiumbe si aliwahi semwa na musiba kuhusu Baba yake alikujaga juu na kuomba huruma ya watu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom