Natamani kuiweka nashindwa kuitoa insta sijui wanafanyaje. Ni kwamba mama Wema amejirekodi akiKwa hiyo Unaona bora umpe pole peke yako!!
Nashukuru kwa sapoti yako la sivyo ningepopolewa na mawe hahaaa uzi bila picha au video watu hawaelewiii
😄😄😄tafwaaadhaliVile unamlilia Mama Wema😁😁😁View attachment 2282426
Mkuu tcra hawawezi kuipiga burn sababu ipo nje ya uwezo wao ni app ambayo ina licence za nje yani ilifunguliwa njeUzi bila Video hauna ishu.
Ile app waipige pin Tu TCRA na wafanyakazi wakamatwe maana ni udhalilishaji Tu unaoendelea kule na bullying ya Hali ya Juu.
Wakipost Wanaume tunaambiwa Sisi ni wadhalilishaji, haya huyo Mange mtamuitaje au ndio funika Kombe mwanaharamu apite.
Kwa kweli anatia huruma mno, hatukatai wengi wanafanya ila jamani kujirecord kweli ili iweje ona sasa mtu mzima anaumbukaHuyu mama hana heshima kabisa.
Kama umri huo bado hajaacha u..ma..laya basi anatia huruma...
Ndo maana watoto wake nao wako moto kweli kweli.
Alikuwa anasemaje mkuu wengine hatuna instagramKwa kweli anatia huruma mno, hatukatai wengi wanafanya ila jamani kujirecord kweli ili iweje ona sasa mtu mzima anaumbuka
Anarecord na kuricord yaniiKwa kweli anatia huruma mno, hatukatai wengi wanafanya ila jamani kujirecord kweli ili iweje ona sasa mtu mzima anaumbuka
Mange ana laana hujui kusambaza ni kosa hata humu wengi walikuwa hwajuiKati ya anayeongea mambo hizo kwa umri huo na kujirecord na aliyeweka hadharani nani ni laanakum?
Wanaweza Ku block any payment kutoka hapa kwenda kwenye account ya MangeMkuu tcra hawawezi kuipiga burn sababu ipo nje ya uwezo wao ni app ambayo ina licence za nje yani ilifunguliwa nje
Mbona km una promote appNakupa pole kwa yaliyomkuta mama yako leo kuwekwa hadharani kwa ile video alopost Mange Kimambi kama mtoto utakua umeumia sana kama mm tuu nimeumia hivi sembuse wewe?
Jamani mama zetu nini kimewakumba mpk kujirekodi katika umri huu? Mnajua kabisa hali ya mitandao kwa sasa ilivyo na bado unapata wapi muda wa kufikiria kujirekodi na unachorekodi sasa ni mambo ya aibu uwiii.
Na Mange hii app yako itaua watu hebu achana na wazazi wa watu huyu ni mama wa mwenzio habari za kuchafua hali ya hewa ziishie kwa vijana huku.
Nashindwa kuupload video mpitie kwa page ya Mange kama hajafuta maana watu wanamuomba afute. Hapo hapo wengine wanasema aweke mbona kuna wazazi wa wengine wanadhalilishwa watu hawasemi?.Ila ki ukweli ni aibu.
Am out
Huyo kiumbe si aliwahi semwa na musiba kuhusu Baba yake alikujaga juu na kuomba huruma ya watu!Na ingekua mama yako je.....kila mtu ana madhaifu yake Mange anachofanya ni ujinga tu kudhalilisha watu hamna mtakatifu duniani hata yeye ukute huko anafanya ujinga mwingi tu ila kabase kudhalilisha watu....mi sio Mungu sio Nabii lakini huyu dada Mange mbingu haioni akiendelea ivi
Anasema ivi "kicheko.. mse*&e mkubwa wewe mse&*e we mh lakini iwe ndogo ikiwa kubwa siwezi, kama mzigo siwezi .... shanga zilikatika sijavaa". The endAlikuwa anasemaje mkuu wengine hatuna instagram
Kila nikijaribu kudownload waliotuma huku inakataa