Poleni Burundi kwa kumpoteza Rais, japo alikuwa mkaidi kwa Corona ila tu basi

Poleni Burundi kwa kumpoteza Rais, japo alikuwa mkaidi kwa Corona ila tu basi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Haka kaugonjwa hata mimi nilikua nimeanza kuwaiga Watanznia na kulegeza, ila hizi taarifa zimenikurupusha.

Huu sio wakati wa kubeza juhudi za tahadhari dhidi ya corona, hiki kirusi kilimlaza waziri mkuu wa Uingereza sembuse maskini wa Afrika, japo hatujajua nini kimemsibu rais wa Burundi ila mkewe yuko huku Nairobi tunamtibu corona, nafuu yake kawa mjanja na kuwahi Nairobi mapema, inapaswa ifahamike ndani ya familia, mtu mmoja akiumwa corona inabidi wote wengine watiwe karantini na sio kukaidi.

Watu mkijichokea na kuanza ukaidi tutakua na tanzia mpaka tutakoma Afrika hii, mara mawaziri mara wabunge. Nafuu yetu Kenya rais anaskliza na kufuata ushauri wa wanasayansi, hakurupuki na matamko yasiyo na mantiki yoyote.

Kuna hizi taarifa zinasema alikua amelazwa anaumwa corona Outgoing President Pierre Nkurunziza Hospitalised Over #COVID-19

====

Breaking News: - Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Reports indicate that he died at the Karusi Fiftieth Anniversary Hospital following a cardiac arrest on June 8, 2020.
 
I am shocked, Nkurunziza was among of the African leaders ignored the pandemic Covid-19
 
Michawi ya Nairobi ishaamka naona, imefurahi hiyo hatari
 
Tuko macho dhidi ya majirani.Eti kwasababu Jemba katangaza hamna Corona wanataka kuingia nchini bila vyeti
 
Eti kuna jamaa kapewa jukwaa la kanisa ashukuru Corona imesepa! Thubutuuu
 
Team corona mshindwe na mlegee
102417988_3282919238407721_3399466547001460879_n.jpg

Tanzania 🇹🇿, hili ni somo kwetu, Corona haiondoki kwa ngonjera na milioni kumi kumi za kugawa makanisani

Vipi, yule mkaidi wa Tanzania atanusurika kweli?
 
Back
Top Bottom