Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Tatizo sio kufa maana kila mtu anakufa. If u die u die Okoth p'Bitek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona haihusiki na kifo chakeOutgoing President Pierre Nkurunziza Hospitalised Over #COVID-19
Siku chache zikizopita alikua Covid +
Rip kwake lakini
Alitesa sana watu huyu wala siyo wa kuombolezaTatizo sio kufa maana kila mtu anakufa. If u die u die
Tuko macho dhidi ya majirani.Eti kwasababu Jemba katangaza hamna Corona wanataka kuingia nchini bila vyeti
Alitesa sana watu huyu wala siyo wa kuomboleza
warumi na @hancemtanashati nao wameondoka kwa mshituko wa moyo!Team corona mshindwe na mlegeeView attachment 1473389
Mjanja sana yule. Mara ya mwisho kumuona alikuwa ameishiwa balaa hadi anaona fahari kujitandaza juu ya mawe.Vipi, yule mkaidi wa Tanzania atanusurika kweli?
Tushasahau kama kuna koronaVipi, yule mkaidi wa Tanzania atanusurika kweli?
Nachukia sana watu wanaoona kwamba ndio wako na kila kitu katika huu ulimwenguSo magu kahusikaje hapa au ndo zile lawama za lawino? Mkenya je kuna rais wako ambae hajatesa raia huko?
Wewe na Nani? Mnipoteze kwa mamlaka mliyopewa na Nani?Tunaweza kukupoteza wewe mkuu,halafu ikawa tabu zaidi.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Ati Kenya ilimuua. Eti hakujifukiza. Wewe ulizaliwa na shetani. You're very ignorant corona inapiga pressups tulia.Hapo kunaweza kuwa na kitu nyuma ya pazia tukumbuke alitimua WHO Burundi pia serikali ya Kenya inachuki na nchi zisizo weka watu zuio.
Nahisi kuna mkono wa mkenya na beberu juu ya kifo chake,pia inaonyesha ujinga Wa kwenda Kenya kutibiwa wakati Kenya hakuna mbinu za kujifukiza.
Swali jingine je kafa kwa korona au ni mshituko wa moyo wa kawaida tu umempata licha ya kuwa na korona
Huyu atapona maana ni muuaji mjanja. Alipoona imepamba moto, akakimbilia kijijini. Akarudi, kwenye vikao anawasukumia wenzake kwa mbali wasimkaribie!Vipi, yule mkaidi wa Tanzania atanusurika kweli?
Amefia Kenya au Burundi?Ati Kenya ilimuua. Eti hakujifukiza. Wewe ulizaliwa na shetani. You're very ignorant corona inapiga pressups tulia