Poleni na safari walimu wapya

Poleni na safari walimu wapya

JOSE KASANO

Senior Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
122
Reaction score
95
Nikiwa miongoni mwa walimu wapya katka safari za kwenda kuripoti kwa wakurugenzi,nimekumbana na kikwazo cha usafiri. Basi la OSAKA kutoka DAR-BUKOBA ni majanga kwani wanapima hadi majaketi abiria alovaa, kila kamfuko na kujumlsha kilo ili kulipia.
 
makubwa,watapima hadi ujazo wa vyakula tumboni mkuu shinda njaa.
 
Ha ha mkuu pole bana naona wamekukombea vipoketi mane vyako dah jamaa wabayaa!!!
 
ha ha hulali!!!

Wewe ni balaaa, maana comment yako ya mwisho jana ni ya saa tano na nusu usiku, saa kumi uko macho.

Mda wenyewe huu hapa.
Last Post: Munkari, Yesterday, 23:51.
 
hahahaaa pole sana mkuu.. inaonekana jamaa wana njaa kalii
 
Wewe ni balaaa, maana comment yako ya mwisho jana ni ya saa tano na nusu usiku, saa kumi uko macho.

Mda wenyewe huu hapa.
Last Post: Munkari, Yesterday, 23:51.

ha ha khaaa jamani weye mdaku ! Miye mlinzi humu !!
 
Back
Top Bottom