JOSE KASANO
Senior Member
- Apr 23, 2013
- 122
- 95
makubwa,watapima hadi ujazo wa vyakula tumboni mkuu shinda njaa.
ha ha hulali!!!
Wewe ni balaaa, maana comment yako ya mwisho jana ni ya saa tano na nusu usiku, saa kumi uko macho.
Mda wenyewe huu hapa.
Last Post: Munkari, Yesterday, 23:51.
ha ha khaaa jamani weye mdaku ! Miye mlinzi humu !!
Your living double life eti.........mchana mwalim, jioni mfanya biashara, usiku mlinzi, hapo utapumzika ukiwa babu.
fainali uzeeni?!
Kweli bwana, usije ukacheza fainali saa hizi.
Piga kazi mpaka kazi zitambue umekuja kupiga kazi.