Poleni na ukabaila wa kuzimwa JF, nipo vizuri hapa

Poleni na ukabaila wa kuzimwa JF, nipo vizuri hapa

Kanali mwime

Member
Joined
May 5, 2018
Posts
71
Reaction score
171
Habali zenu wakuu poleni na kupotezana kwa mda asanteni JF mmeturejeshea huduma.

Kwanza kabisa wakuu natoa pongezi na kumshukuru Mungu nipo hapa Johannesburg mwezi na siku kadhaa nilipata kazi kwenye kampuni ya ulinzi lakini bado naangalia mikakati mingne zaidi.

Asanteni Wakuu kwa kunitia moyo hapa nilipo napata unafuu kwa kweli tofaut na pale magomeni mapipa mtaa WA kionga nilivokua nataabika na bodaboda kijiweni pale Kilimanjaro JIRANI na DTB, nasema asanteni wakuu,

Kiukweli hapa jorberg ukija kwa nia ya kupambana unafanikiwa usije kimakundi Mimi ni Msukuma kwetu kahama lakini nipo huku paspo hata kua na ndugu nimejilipua kuja kutafta maisha bora, maana mkulu alisema watanzania tutaishi Kama mashetani nikaona bora nije nifie ugenini kuliko kishi Kama shetani ktk nchi niliyozaliwa, ahsanteni wakuu
FB_IMG_1528174631511.jpg
 
mbona mnamuonea sana Dr Magufuli kwani akisema hivyo tu ndo inakuwa mbona siye wengine tunaishi kama malaika na hakuna kilichobadilika mpaka sasa
 
Principle ya kufanikiwa kwa kila binadamu ni ndogo sana "just step out of your comfort zone" amua kwanza kuondoka sehemu inayokufanya uwe comfortable na kubweteka.

Basically, ukitaka kufanikiwa zaidi lazma ujifunze kuamka asubuhi na kukiachia kitanda kinachokufanya uwe comfortable zaidi ndio mafanikio yataanza kunusa kwako.

Lazma ujifunze kutembea kwenye umande asubuhi na mapema na kuiacha comfort zone ya kusubiri umande ukauke.

Pia lazma ujue muda sahihi wa kuiachia comfort zone ya kuishi kwa raha nyumbani kwenu kwa wazazi au nchini kwenu, uende sehemu tofauti ambapo hautakuwa comfortable kihivyo hii itakusaidia Ku adjust na mazingira mapya na hata hasira ya utafutaji inafugwa hivi hivi.

Ije mvua, ije jua...endelea kukaza kijana huko ugenini. Kwa maisha haya ni wabishi pekee wa Kariba yako ndio watadumu.

I hope ulimtafuta yule mtasha mlinzi niliekupaga namba yake?
 
Angalia nasikia huko mtu kupigwa risasi ni jambo la kawaida
Ni kweli nilikua sijawai kuona polisi anampiga chuma MTU live nimejionea huku, polisi hasemi Mara mbili na mtuhumiwa ikitokea amejihami na buduki
 
Nashukuru
Principle ya kufanikiwa ni ndogo sana "just step out of your comfort zone" amua kwanza kuondoka sehemu inayokufanya uwe comfortable na kubweteka. Iko hivi,

Ukitaka kufanikiwa zaidi lazma ujifunze kuamka asubuhi na kukiachia kitanda kinachokufanya uwe comfortable zaidi ndio mafanikio yataanza kunusa kwako.

Lazma ujifunze kutembea kwenye umande asubuhi na mapema na kuiacha comfort zone ya kusubiri umande ukauke.

Pia lazma ujue muda sahihi wa kuiachia comfort zone ya kuishi kwa raha nyumbani kwenu kwa wazazi au nchini kwenu, uende sehemu tofauti ambapo hautakuwa comfortable kihivyo hii itakusaidia Ku adjust na mazingira mapya na hata hasira ya utafutaji inafugwa hivi hivi.

Ije mvua, ije jua...endelea kukaza kijana huko ugenini. Kwa maisha haya ni wabishi pekee wa Kariba yako ndio watadumu.

I hope ulimtafuta yule mtasha mlinzi niliekupaga namba yake?
Sana tena nilikua nakutafta umekua msaada mkubwa nilimpigia cm akanipa appointment baada ya siku 3 nikaanza training wiki mbili, baadae akanipa chaka LA kulala kwa sasa natinga Mungu akubariki Sana mtanzania mwenzangu nipe Namba yako nikutafte Mkuu
 
Angalia nasikia huko mtu kupigwa risasi ni jambo la kawaida
Hata watu wapigwa risasi na kuokotwa kwenye viroba, ndhani wewe ndio unatakiwa kiwa muanglifu zaidi.
 
Nashukuru

Sana tena nilikua nakutafta umekua msaada mkubwa nilimpigia cm akanipa appointment baada ya siku 3 nikaanza training wiki mbili, baadae akanipa chaka LA kulala kwa sasa natinga Mungu akubariki Sana mtanzania mwenzangu nipe Namba yako nikutafte Mkuu
Wow! Nimefurahi kusikia umeanza kupiga hatua za kwenda mbele ndugu. Safi Sana!

Mungu azidi kukupa "midas touch" everything you touch should turn into gold. Amen!
 
KUFANIKIWA HAIJALISHI UPO NCHI GANI, KAMA IPO IPO TU
 
Back
Top Bottom