Poleni na ukabaila wa kuzimwa JF, nipo vizuri hapa

Poleni na ukabaila wa kuzimwa JF, nipo vizuri hapa

asante kwa haya matusi !! ila asantr mkuu
Mkuu hii ni ishara ya ushkaji uliotukuka kukupakia matusi yasio na ban. There's no any offence intended...

Nina mwanangu Da Vinci ana mwaka hajawahi kuniita jina langu...yeye ananiitaga we fala, we bwege, we mseng..! And it's all gud!

Usimind sana we bwege! Ahahaha!
 
kitu kingne us mdharau usyemjua
Huwa sina dharau maana pia huwa sipendi dharau na sikujua kama huko serious...nilidhani labda umekuja kiutani kama siku zote...matter of fact..kama ungekuwa serious haya mambo watu wanadumbukiaga inbox unless utaendelea kuwa utani tu.

But pole kama nimekukwaza mkuu! Dhumuni lilikuwa to have some funny.

Uwe na jioni murua.
 
asubuh njema mkuu hahaha
 
Principle ya kufanikiwa kwa kila binadamu ni ndogo sana "just step out of your comfort zone" amua kwanza kuondoka sehemu inayokufanya uwe comfortable na kubweteka.

Basically, ukitaka kufanikiwa zaidi lazma ujifunze kuamka asubuhi na kukiachia kitanda kinachokufanya uwe comfortable zaidi ndio mafanikio yataanza kunusa kwako.

Lazma ujifunze kutembea kwenye umande asubuhi na mapema na kuiacha comfort zone ya kusubiri umande ukauke.

Pia lazma ujue muda sahihi wa kuiachia comfort zone ya kuishi kwa raha nyumbani kwenu kwa wazazi au nchini kwenu, uende sehemu tofauti ambapo hautakuwa comfortable kihivyo hii itakusaidia Ku adjust na mazingira mapya na hata hasira ya utafutaji inafugwa hivi hivi.

Ije mvua, ije jua...endelea kukaza kijana huko ugenini. Kwa maisha haya ni wabishi pekee wa Kariba yako ndio watadumu.

I hope ulimtafuta yule mtasha mlinzi niliekupaga namba yake?
Dah big up MKUU..una UTU.
 
Back
Top Bottom