Poleni na ukabaila wa kuzimwa JF, nipo vizuri hapa

asante kwa haya matusi !! ila asantr mkuu
Mkuu hii ni ishara ya ushkaji uliotukuka kukupakia matusi yasio na ban. There's no any offence intended...

Nina mwanangu Da Vinci ana mwaka hajawahi kuniita jina langu...yeye ananiitaga we fala, we bwege, we mseng..! And it's all gud!

Usimind sana we bwege! Ahahaha!
 
kitu kingne us mdharau usyemjua
Huwa sina dharau maana pia huwa sipendi dharau na sikujua kama huko serious...nilidhani labda umekuja kiutani kama siku zote...matter of fact..kama ungekuwa serious haya mambo watu wanadumbukiaga inbox unless utaendelea kuwa utani tu.

But pole kama nimekukwaza mkuu! Dhumuni lilikuwa to have some funny.

Uwe na jioni murua.
 
asubuh njema mkuu hahaha
 
Dah big up MKUU..una UTU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…