Ni dhahiri kwamba mkutano wa CDM hauwi mkutano bila kumtaja JPM.
Nimeshuhuda mara kadhaa katika mikutano ya CDM inayoendelea. Hakuna Kiongozi anayemaliza mkutano bila kumtaja JPM.
Hongera sana JPM kwa kuendelea kuwatisha CDM ukiwa kaburini.
Kivuli chako kinawatisha CDM mpaka wanachanganyikiwa.
RIP JPM, Mwamba wa Afrika.