Ni kweli, lakini kumtaja mara nyingi zaidi shetani kuliko Mungu, kanuni inasema kwamba kwa kufanya hivyo ni sawa na kumwabudu zaidi shetani kuliko Mungu.Ni sawa na uingie kwenye nyumba ya ibada, kisha shetani asitajwe.
JPM kiboko ya wahuniMungu fundi,ni funzo Kwa wengine.CDM ni mpango WA Mungu.hata ssh amefyata mkia.wajaribu na wengine ujinga wa magu waone
Nimekuja fasta nione wanamuogopa kwa lipi au kwasababu gan cjaona!!Ni dhahiri kwamba mkutano wa CDM hauwi mkutano bila kumtaja JPM.
Nimeshuhuda mara kadhaa katika mikutano ya CDM inayoendelea. Hakuna Kiongozi anayemaliza mkutano bila kumtaja JPM.
Hongera sana JPM kwa kuendelea kuwatisha CDM ukiwa kaburini.
Kivuli chako kinawatisha CDM mpaka wanachanganyikiwa.
RIP, JPM, Mwamba wa Afrika.
Ni kweli kabisa mkojo.JPM kiboko ya wahuni
Wanamtaja kwa mema au kwa mabaya?Ni dhahiri kwamba mkutano wa CDM hauwi mkutano bila kumtaja JPM.