Poleni sana Hezbollah kwa kipondo mnachopata huko Lebanon!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya magaidi wa Hezbollah kujiingiza kichwa-kichwa kwenye vita inayoendelea huko Iran magaidi hao ambao wako huko Lebanon Jana wamepata kipondo ambacho hawataki Saha baada ya majengo yao na asset zao nyingi kushambuliwa na majeshi ya Israel.

Kwa kulipiza kisasi magaidi hao walirusha makombola mengi kuelekea Israel na makombola yote yalipopolewa na hakuna madhara yaliyotokea kwa binadamu huko Israel.
 

Attachments

  • IMG_5158.jpeg
    84.7 KB · Views: 21
  • IMG_5157.jpeg
    47.4 KB · Views: 21
  • IMG_5156.jpeg
    87.5 KB · Views: 21
  • IMG_5155.jpeg
    107.3 KB · Views: 19
  • IMG_5154.jpeg
    146.1 KB · Views: 24
Usisahau kuwapa pole na Isra-hell kutokana na kipondo wanachopokea kutoka Iran
Kingekuwepo ungekionyesha lakini kwa kuwa hakipo wewe endelea tu kubwabwaja wakati Iran akivuna alichopanda!!!
 

Attachments

  • v29025g50000d6om2onog65r334iba7g.mp4
    4.4 MB
  • -2588989318841574975.mp4
    3 MB
  • 6436221185403004301.mp4
    3.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…