Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mabwegge kama wewe mnatumia ubongo wa lumumba kuandika,unasema hakuna tatizo na serikali??? Kimbangwa sec school iliopp dar haina mwalimu wa physics ni mfano mmoja shule nyingi za serikali hakuna walimu umajua kwann? Hakuna mwalimu ambae atakubali kwenda mpanda au kibondo ndani uko akisubiri mshahara miezi sita??hakunaWell noted. Tatizo ni wanafunzi wenyewe na siyo Serikali au waalimu.
Nimemsikia kibonde, kaelezea vizur na kaelezea vizuri umuhimu wa mzazi/mlezi katika kufanikisha kufaulu kwa mtoto/mwanafunzi.
Inabidi tuache chuki binafsi kwa Kibonde! Siyo kila kitu anachosema tukipinge tu!!
Dogo wangu alikua kasoma shule ya kata(ILALA SEC)pale Kipawa.
Alikua anakesha ingawa shule yake ilikua mbovu,matokeo yametoka kapiga 1:17!
Mie nilisoma shule moja ya day nikapanga chumba huko huko maana ilikua ni kama km 29 kwenda na kurudi na nikamaliza mwaka 1997,shule haikua nzuri maana mara ya mwisho kufaulisha vzr ni mwaka 95 kupata Dv3-1.
But mwanaume nilijipanga kisawasawa na my best friend wangu mmoja hivi ambaye kwa sasa ni marehemu,nikatoka na 1:18 huku yeye akipiga 1:9.
So mwanafunzi inabidi ajitambue kwanza kabla ya kuilalamikia serikali yake sikivu.

duh! Kumbe ni mgonjwa au?
Inaelekea hizo ni Chuki binafsi zako kwa Kibonde tatizo la kufeli kwa wanafunzi si tatizo la Walimu wala Serikali bali ni kwa Wanafunzi wenye walio jiweka kizembe na kusubiri kila kitu kutoka kwa Mwalimu.
Pointi 18 ni daraja la pili.
Unataka kusema asilimia sitini ya wanafunzi hawajitambui? Na kama hawajitambui nani wa kulaumiwa.
Kwa udadisi tu, kama ulisoma shule haina waalimi, maabara, vitabu vya kiada na ziada uliwezaje kupata daraja la pili, wewe unaloliita la kwanza?
Matokeo haya yanapaswa yamsikitishe kila mtanzania anayeitakia mema nchi yake.
hivi enzi za mwalimu wanafunzi walikuwa wanafeli namna hii??