Poleni sana mussa hussein na wasiwasi mwabulambo wa clouds fm kwa kufanya kazi na huyu "kibonde"

mm hkna m2 anayenikera hapo clauds km mbwa huyu kwnza yy n mr nver told anawnyma wnzake uhr wakuongea kla neno zr lake
 
mabwegge kama wewe mnatumia ubongo wa lumumba kuandika,unasema hakuna tatizo na serikali??? Kimbangwa sec school iliopp dar haina mwalimu wa physics ni mfano mmoja shule nyingi za serikali hakuna walimu umajua kwann? Hakuna mwalimu ambae atakubali kwenda mpanda au kibondo ndani uko akisubiri mshahara miezi sita??hakuna
maabara hakuna walimu wanalalamika kila siku mitaala hakuna wewe kwa akili zako za kimwaga. Msiwe mnatetea upuuzi puuzi kama huu taifa linangamia unaleta mchezo hapa?
 

well said Mjeda wetu.
hapo kwenye red ni 1 au 2 nijuavo 2 inaanzia 18 points, hongera kwa uafulu na mdogo wako pia
ok sometimes kama ulivosema tusilaumu serikali pekee
uzembe wa wanafunzi kutojituma wenyewe, sio sekondari tu hata vyuoni nako vile vile
niko madongo kuinama huku hata hawa wenye pua ndefu nao hivo hivo uzembe mkubwa hawasomi
wife yeye anawafundisha anasema ni mzigo hawataki kusoma hata assigment hawafanyi.
Kwa bongo vitoto viko twitter,facebook, myspace,youtube ,Tangoo, WhattsApp vinasoma saa ngapi?
mzazi unampa mwanao ipad na smartfone au iphone unategemea nini?
hawajishughulishi hata kama wangepewa maabara nzuri na waimu wazuri lakini kama hawajitumi hakuna kitu
shule ambazo zimefaulisha sana utaona wanafunzi hawaruhusiwi kuwa na simu, na wako strict katika sheria za shule
bila kusahau mwanafunzi asipofikia wastan lazima afukuzwe.
Kwa sababu hizo na uzembe wa serikali kuzembea kuwalipa vema walimu ndio chanzo pia
 
u cant c an idiot presenter nchi kama kenya, tanzanians tunakubali akili ndogo itawale akili kubwa. Abdul mohamed anatereza kwenye barafu londo bbc kawaacha makanjanja hando,kibonde wakiwagonolea makfisadi
 

Pointi 18 ni daraja la pili.

Unataka kusema asilimia sitini ya wanafunzi hawajitambui? Na kama hawajitambui nani wa kulaumiwa.

Kwa udadisi tu, kama ulisoma shule haina waalimi, maabara, vitabu vya kiada na ziada uliwezaje kupata daraja la pili, wewe unaloliita la kwanza?

Matokeo haya yanapaswa yamsikitishe kila mtanzania anayeitakia mema nchi yake.
 
Inaelekea hizo ni Chuki binafsi zako kwa Kibonde tatizo la kufeli kwa wanafunzi si tatizo la Walimu wala Serikali bali ni kwa Wanafunzi wenye walio jiweka kizembe na kusubiri kila kitu kutoka kwa Mwalimu.

Wewe Mashamba, sasa wewe unategemea wanafunzi wasingoje kila kitu toka kwa mwalimu, watapata wapi kungine?
  • Kama shule haina maktaba, unategemea wakasomee wapi? Wapate wapi vitabu?
  • Kama shule haina maabara, wakafanyie wapi majaribio?
  • Kama shule haina hata madawati, wakakae wapi?
  • Kama shule hazina chaki, wanafunzi wakanunue wenyewe?
Hata hivyo ni bahati sana kuona hata wanafunzi wakiwapata hao walimu unaosema wametegemea kila kitu kutoka kwao. Hivi unajua kuwa shule nyingi zina wanafunzi mamia na walimu wasiofika hata kumi? Hao walimu, japo wa kutegemewa na wanafunzi, wako wapi? Tuendekezeni uzalendo mbele na kuzungumzia mambo yenye maslahi kwa taifa zima, na si propaganda za akina Nape na Nchemba. Au wewe ni miongoni mwa wale waliosomea nje ya nchi? Au Feza boys?
 

haya matatizo ya maabara, vitabu e.t.c hayakuanza leo, yameanza mda mrefu tangu wengine tunasoma lakini matokeo hayakuwa mabaya kama haya, labda tufanye analysis ndogo kwa kulinganisha matokeo ya kuanzia 2005 mpaka sasa, utagundua matokeo yameenda yanashuka, sasa tatizo si kwa wanafunzi pekee, kuna mchango mkubwa wa walimu, kuna Mwl wangu mmoja nilikuwa nikiongea nae kuhusu matokeo, nlimuuliza swali, kuna tofauti gani ya ufundishaji kipindi kile na kipindi hiki, akanijibi tofauti kubwa ni ile ARI ya kufundisha haipo, gharama za maisha zimepanda kwa viongozi tu kwa walimu maisha ni ya kawaida, Mwalimu wangu anasema hakuna utofauti wa mshahara niliyokuwa nikipokea kipindi kile na sasa, ila gharama za maisha zimepanda, Mwl akitaka kupandishiwa mshahara anaambiwa haiwezekani, kama umeshindwa kazi acha kufundisha.
 
Wanafunzi watasomaje wakati walifaulu wakiwa hawajui kusoma wala kuandika?!!!kisa kuongeza idadi ya wanafunzi mashuleni kumbe wanaongeza zero,elimu ianzie msingi..siasa chafu ziepukwe.
 
hivi enzi za mwalimu wanafunzi walikuwa wanafeli namna hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…