Nasikitika sana kuwaona graduates wanazurura zurura mtaani huku. Hakuna ajira tangu huyu bwana aingie madarakani yeye ni madege tu inatosha.
Tumeinjoy sana kipindi cha Rais Mstaafu jakaya Kikwete maana ajira nilikuwa bwerere serikalini mpaka tunazikataa tunaamua kuingia private hususani ualimu na udaktari.
Nasikitika sana Mzee Kikwete huu moyo aliutoa wapi wa ajira kwanza.
Halafu mbaya zaidi nasikitika Rais Magufuli hata hawaonei huruma kabisa walimu walioko mtaani maana mwalimu amesomea kufundisha sio kufanya kazi kiwandani.
Mzee Kikwete sijui pesa alizitoa wapi za kuajiri mass kubwa vile.