Mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya akikusikia utafute pa kujificha...Nasikitika Sana jk huu moyo aliutoa wapi wa ajira Kwanza.
Halafu mbaya zaidi nasikitika jpm hata hawaonei huruma kabisa walimu walioko mtaani maana mwalimu amesomea kufundisha siyo kufanya kazi kiwandani.
Jk sijui pesa alizitoa wapi za kuajiri mass kubwa vile.
Inaonyesha huelewi kabisa maana ya " Ajira"Nasikitika Sana kuwaona graduates wanazurula zuruoa mtaani huku. Hakuna ajira tangu huyu bwana aingie madarakani yeye ni madege tu inatosha.
Tumeinjoy Sana kipindi Cha jk mana ajira nilikuwa bwerer serikali I mpaka tunazikataa tunaamua kuingia private hususani ualimu na udaktari.
Nasikitika Sana jk huu moyo aliutoa wapi wa ajira Kwanza.
Halafu mbaya zaidi nasikitika jpm hata hawaonei huruma kabisa walimu walioko mtaani maana mwalimu amesomea kufundisha siyo kufanya kazi kiwandani.
Jk sijui pesa alizitoa wapi za kuajiri mass kubwa vile.
Ajira ni kuajiri Kama alivyofanya jk. Labda Kama unataka kumssaport jpm kutoajiri au unataka kujustifuInaonyesha huelewi kabisa maana ya " Ajira"
Kichaa katika ubora wakoInaonyesha huelewi kabisa maana ya " Ajira"
Endelea kusubiri " utaajiriwa" bwashee.Ajira ni kuajiri Kama alivyofanya jk. Labda Kama unataka kussaport ujinga was jpm kutoajiri au unataka kujustifu
Mi nawasikitikia tu wanaomaliza kipindi hiki Cha dictator. Nina ajira yangu kipindi kile tuna mzalendo na mpenda watu jkEndelea kusubiri " utaajiriwa" bwashee.
Una utaalamu gani?!
Ni mbwiga tu anayesubiri kuajiriwa katika zama hizi!
Sisi tumetoa maoni na kuwasikitia wanaomaliza kipindi hiki Cha huyu dictator. Ajira kwa jk zilikuwa bwerer ambaye aligraduate hakuna aliyeko mtaani labda Kama alipenda mwenyeweNi mbwiga tu anayesubiri kuajiriwa katika zama hizi!
Kwani wamekuambia wanataka "kutumika" kwa kamshahara kama wewe?!Mi nawasikitikia tu wanaomaliza kipindi hiki Cha dictator. Nina ajira yangu kipindi kile tuna mzalendo na mpenda watu jk
Nawaona wanazulula na bahasha za kaki Kila siku hapa mpka nawaonea huruma. Jana nimetangaza kazi feki mtandani nimeshapa application Kama elfu moja hapa. Hi maana yake hali ni mbayaKwani wamekuambia wanataka "kutumika" kwa kamshahara kama wewe?!
Hiyo JK unamaanisha Julius Kambarage?Sisi tumetoa maoni na kuwasikitia wanaomaliza kipindi hiki Cha huyu dictator. Ajira kwa jk zilikuwa bwerer ambaye aligraduate hakuna aliyeko mtaani labda Kama alipenda mwenyewe
Jakaya mrisho kikwete. Nimemaliza kipindi chake na ndo mana nawasikitikia wanaomaliza kipindi hiki. Ambaye kamaliza kipindi Cha jk ana ajira labda Kama hakutaka mwenyewe. Mwaka gani ulipita bila jk kuajiri walimu na madactari wote nchi nzima!Hiyo JK unamaanisha Julius Kambarage?
Kumbe wewe ni mwalimu!Jakaya mrisho kikwete. Nimemaliza kipindi chake na ndo mana nawasikitikia wanaomaliza kipindi hiki. Ambaye kamaliza kipindi Cha jk ana ajira labda Kama hakutaka mwenyewe. Mwaka gani ulipita bila jk kuajiri walimu na madactari wote nchi nzima!
Mi mwalimu ndiyo. Ndo mana nasema tulienjoy Sana wakati wa jk. Saaa hivi walimu wanasuffer kwelikweliKumbe wewe ni mwalimu!
Mana yake ilikuwa atakayeingia madarakani baaea ya jk expectation aongeze ajira zaidi mpaka fields zingine lakini huyu jamaa ameziban kabisa Hana mpango wa kuajiri hali ni mbayaUmesahau kwamba Team Lowassa kila siku walikuwa wanamtishia JK na walichokuwa wakikiita 'time bomb' la ukosefu wa ajira kwa vijana.
Umesahau kuwa hiyo ndiyo iliyokuwa ajenda ya kutafutia kura 2015, wakimaanisha kuwa JK alishindwa.
JK alituasa kuwa tutamkumbuka.