Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,842
- 3,618
Unamaanisha tuliruka kutoka kikaangoni tukadondokea kwenye moto wenyewe?Mana yake ilikuwa atakayeingia madarakani baaea ya jk expectation aongeze ajira zaidi mpaka fields zingine lakini huyu jamaa ameziban kabisa Hana mpango wa kuajiri hali ni mbaya
Exactly. We ukitaka kuona hali ni mbaya Sana tangaza nafasi za ajira mitandaoni hata Kama ni feki na unahitaji wawili tu, utapata application elf 5Unamaanisha tuliruka kutoka kikaangoni tukadondokea kwenye moto wenyewe?
Hahaha Moto utakaomchoma Magu ni zaidi ya ule wa Sodoma.
Hivi 'mkulu' mwenyewe alishawahi kujiajiri wapi tangu amalize chuo?Ni mbwiga tu anayesubiri kuajiriwa katika zama hizi!
Kama kipindi cha JK ajira kwa vijana lilikua ni bomu linalosubiri kulipuka basi lilikua ni bomu la machozi tu, hili la kipindi cha Magu ni bomu la Atomiki/Nuclear kabisaa.Umesahau kwamba Team Lowassa kila siku walikuwa wanamtishia JK na walichokuwa wakikiita 'time bomb' la ukosefu wa ajira kwa vijana.
Umesahau kuwa hiyo ndiyo iliyokuwa ajenda ya kutafutia kura 2015, wakimaanisha kuwa JK alishindwa.
JK alituasa kuwa tutamkumbuka.
Kwani kabla ya JPM,aliyekua Rais ni Julius Kambarage au Jakaya Kikwete,namaanisha ukienda serially?Hiyo JK unamaanisha Julius Kambarage?
Ni mbwiga tu anayesubiri kuajiriwa katika zama hizi!
Bwashee hii dunia ni ya kujiajiri siyo kutegemea kuajiriwa.Duuh mkuu unakosea sana sana. Kusema mbwiga tu ndo wanasubiri kuajiriwa. Anyway kama si wewe bas una ndugu, jamaa, na marafiki pia. Mshukuru Mungu tu Wewe hapo ulipo. Usikejeli wengine
Bwashee hii dunia ni ya kujiajiri siyo kutegemea kuajiriwa.
Mambo ya kusoma ili serikali ikuajiri yamepitwa na wakati.......zama hizi kila mtu ana digrii mbili hivyo kuajiriwa serikalini ni bahati.
Fanya utafiti watanzania wengi wamejiajiri na wanafanya vizuri.......mtaji muhimu ni mawazo yako na uthubutu siyo fedha!Bwashee sawa sawa nimefurahi sana hoja yako. Ila pia tambua kwa uwingi wa watu wahitimu sio rahisi wote kujiajiri boss, factors nyingi sana zinawaathiri kama background for their families, capital, business skills, n.k n.k ni idea nzuri sana kujiajiri sana. Lakini implicability yake imefanywa kwa uharaka sana bila mazingira rafiki ya uwezeshaji. Kwangu mimi hii ingekua working plan hata kwa kuanzia miaka 4-5 ijayo.
Inaonyesha huelewi kabisa maana ya " Ajira"
Mi nawasikitikia tu wanaomaliza kipindi hiki Cha dictator. Nina ajira yangu kipindi kile tuna mzalendo na mpenda watu jk
Hakika Kuna watu niliwashuhudia wanataaluma ya kufundisha lakini wakafanya kazi za ufundi bila kuwa na taaluma ya ufundi.Jakaya mrisho kikwete. Nimemaliza kipindi chake na ndo mana nawasikitikia wanaomaliza kipindi hiki. Ambaye kamaliza kipindi Cha jk ana ajira labda Kama hakutaka mwenyewe. Mwaka gani ulipita bila jk kuajiri walimu na madactari wote nchi nzima!
Kwa kipindi chake alitusua lakini huyu je?Ukugigwa,
Umesahau kwamba Team Lowassa kila siku walikuwa wanamtishia JK na walichokuwa wakikiita 'time bomb' la ukosefu wa ajira kwa vijana.
Umesahau kuwa hiyo ndiyo iliyokuwa ajenda ya kutafutia kura 2015, wakimaanisha kuwa JK alishindwa.
JK alituasa kuwa tutamkumbuka.
Bwashee endelea kukariri!Inamana huyu Jamaa ni kichaa . Au ndo wale vichaa ambao wanaandika kingereza barabarani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nini kimebadilika??Ni mbwiga tu anayesubiri kuajiriwa katika zama hizi!