interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Mwambie na yeye aweke rekodi yake enzi hizo bado hajazaliwa tuone, maana ametafuta mechi alizofungwa Yanga tu bila ya alizoshinda tangu akiwa kiunoni mwa Baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app