interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Mwambie na yeye aweke rekodi yake enzi hizo bado hajazaliwa tuone, maana ametafuta mechi alizofungwa Yanga tu bila ya alizoshinda tangu akiwa kiunoni mwa Baba yake
Nais amekupataMwambie na yeye aweke rekodi yake ya Mafisi/Makelele FC enzi hizo bado hajazaliwa tuone, maana ametafuta mechi alizofungwa Yanga tu bila ya alizoshinda tangu akiwa kiunoni mwa Baba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana wamekiona cha moto,s mbayaHana ubavu huo wa kuleta huo uozo wao, nakuhakikishia laiti Yanga ndiye angekuwa anapondwa hapa basi huu uzi ungeshafikisha comments 700, ndiyomaana huwa tunawaita "Makelele/Mafisi FC"
Sent using Jamii Forums mobile app