ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Simba ndo washalia. Yanga hawezi kufungwa. Tunza kwenye tigo pesa hii commentNgoja tuone.Asilie mtu.
Nyinyi ndio mtakimbiaTunza post yako na baadae baada ya mechi urudi, usikimbie uzi wako yanga ikifungwa
Okay.Asitokee mtu akazimia halafu ikasemekana amefumba macho anasali.Simba ndo washalia. Yanga hawezi kufungwa. Tunza kwenye tigo pesa hii comment
✅️Nakazia AsikimbieTunza post yako na baadae baada ya mechi urudi, usikimbie uzi wako yanga ikifungwa
Yanga itafungwa jela tuu sio uwanjaniTunza post yako na baadae baada ya mechi urudi, usikimbie uzi wako yanga ikifungwa
tulia, urudi tena baadae, naona unabeti tuYanga itafungwa jela tuu sio uwanjani
Pamoja na kuwa mimi ni shabiki wa Yanga, leo nasubiria kuona muujiza wa soka tukiifunga Mamelodi. Ikitokea hivyo basi nitakuwa na pasaka njema kabisaPoleni sana kwa dhahama mliyokutana nayo jana. Tuseme tu ukweli Simba hawana timu ya kumfunga Ahly.
Hapa bongo huwa mna struggle sana kuzifunga timu pinzani.
Ukweli ni kwamba mna bidii lkn hamna wachezaji wenye viwango
Baada ya kusema hayo sasa angalieni kaka zenu kimpira watakachomfanya mamelodi leo. Mpira mkubwa kelele kidogo.
Hakika wajipange kwa gemu la misri sasa