Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa.
kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho.
pole sana rafiki zangu wakike na wa kiume, pole sana kwa changamoto hiyo ya ugumu wa uhakika wa kuendesha maisha... I can feel your pain.
kumbe hasira, ghadhabu na mihemko mtaani na mitandaoni chimbuko na msukumo wake ni wakati ugumu katika harakati za kujitafutia.
pole sana friends, ladies and gentlemen, kiukweli nimeumia sana kwaajili yako, ndugu, jamaa na marafiki zangu ambao pia wanapitia katika mazingira kama hayo.
nimeshuhudia hata pa kujishkiza tu hakuna, na zaidi sana msingi, mtaji au uzoefu wa kazi, biashara, ufugaji au kilimo ni changamoto zaidi pia.
Ndugu zangu, yafaa kukata shauri sasa, kujizatiti na kufanya maamuzi magumu kuamua kuchukua na kufuata mkondo sahihi..
Muda ndio huu wa mapema kabisa, fursa na nafasi ya kupima na kuchukua uelekeo kulingana na upepo unavyokwenda ndio huu...
Hakuna haja ya kubabaika wala kusita kufanya maamuzi... umoja ndio njia pekee sana ya awali kabisa ya kupiga hatua za kufikia ndoto na matarajio yako ya maisha...
Usiogope, vaa ujasiri, unganisha nguvu, mawazo na ubunifu na wengine, pawe na uelekeo na sauti moja kuhusu mahitaji muhimu ya kuondokana na fedhaha na aibu hiyo ya kujitafuta mtaani, ukiwa mjini au kijijini...
Baadae mwaka huu, iwe ni mwanzo wa muunganiko wa vijana hususani wasio na ajira kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji. ni muhimu chachu na msukumo wa mabadiliko ukatokea kwa vijana hususani wasio na ajira na wanafunzi.
Na kuanzia hapo kwenda mbele 2025, kwenye Uchaguzi Mkuu, umoja huo, uambatane na yule ambae ni dhahiri anasikiliza, ana mipango na kabisa ana nia ya dhati ya kufuta jasho na majozi ya mahangaiko ya vijana, kwani tayari kwa kipindi kifupi tu ameamsha matumaini ya kipekee sana miongoni mwa vijana wanaojitafuta katika maeneo mbalimbali nchini.
Biashara zimefunguka mno hivi sasa, kilimo, uvuvi, ufugaji n.k vimeimarika mno, masoko ya kila aina na mzunguko wa pesa ni mkubwa.
Nia, madhumuni, mipango na mikakati ya kiongozi wetu mkuu wa nchi, ni dhahiri inakwenda kuamsha na kuchochea ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya ya kufikia malengo na matarajio ya kila mwenye ndoto ya mafanikio, ili hatimae kuondokana na fedhaha na aibu maishani. muda unakwenda mbio, umri nao unasonga....
Awamu hii iwe mwanzo wa kuunganika kama vijana na kujua hatma ya uelekeo wa maisha na ndoto zenu, na mwisho wa kugawanyika miongoni mwenu....
Karibu sana shamba na kazi ya wananchi isonge vizuri....
Neema na Baraka za Mungu, ziambatane na kuandamana nawe katika kazi na mahangaiko yako ya kujaribu kutimiza ndoto, matarajio na matamanio ya moyo wako katika maisha ya ulimwengu huu....
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki mkuu wa nchi na wote wenye nafasi katika serikal..
Aimen 🙏