Poleni sana Watanzania wenzangu

Poleni sana Watanzania wenzangu

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
228
Reaction score
210
Hi everyone in here,

Moyoni nimejawa na huzuni baada ya kupatiwa taarifa juu ya msiba mzito wa Mtanzania mwenzetu Mr. Ali.

Binafsi nimeshitushwa sana na taarifa hizo na kunifanya kukatisha rasmi ziara zangu nchi za wenzetu.

Niliplan leo niwe Hawaii, lakini kwa suala hili zito nimehairisha na kesho au kesho kutwa nitaanza safari ya kurudi nyumbani Tanzania.

Pia, sherehe ya arobaini ya Candy tuliyotegemea kufanya alhamisi imehairishwa. Poleni sana kwa usumbufu wale watano mliopata kadi za bure.

Tutawatumia kila mmoja USD 1000 ili kurekebisha ratiba zenu maana tumewaharibia ratiba, samahanini sana ndugu zangu. Ni emergence.

Nawasihi Watanzania wenzangu tuishi maisha ya utaua tuwapo duniani. Ukiwa na shati mbili, yakupasa umpe yule asiyenacho. Hakuna raha ya maisha zaidi ya kutoa.

Mwisho, Linda anawasalimia sana.

Jambo Tanzania.
 
Moja haikai mbili haisogei...kipa yuleee anatokomea kusikojulikana.
 
Hawaii habari za zamani.

Mambo Turks and Caicos.
 
Back
Top Bottom