POLENI SANA WEKUNDU WA MSIMBAZI

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Mpira wa leo kati ya Wekundu wa Msimbazi na Nkana Red Devils ulikuwa mkali sana japo Simba wamefungwa goli 2-1wakiwa na faida ya goli la ugenini. Mnatakiwa mjipange sana kwa ajili ya mechi ya nyumbani. Simba inaweza kujifariji kuwa hapa ni nyumbani LAKINI Nkana ni timu nzuri na hata asilimia ya kumiliki mpira waliwazidi Simba.Nadhani mlimuona Kessy anavyokokota mpira japo mlimuona hafai. Marudio ni baada ya wiki mbili msije mkarudi tena kwenye ligi mkiwa mnashika namba tatu. Ninawatia kila la kheri wewe Wekundu wa Msimbazi.
 
Simba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.

Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
 
Ugenini tulikuwa.....
Tuna goli la Ugenini.....
Leta swali lingine

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…