Poleni TFF, Yanga na Simba; Mpira ni sayansi na sio siasa

Poleni TFF, Yanga na Simba; Mpira ni sayansi na sio siasa

kijanamdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
231
Reaction score
177
Hakika kama TFF haitabadili Mtindo Wa Ligi Yetu basi tusitarajie wawakilishi wetu kwenye michezo ya kimataifa watafika Mbali.Ligi Yetu ni dhaifu sana Kwa mfano Timu zinazishiriki kombe la FA sijui ni za daraja la 6 lakini Leo timu hiyo inacheza na Yanga au Simba unategemea Yanga au Simba itajifunza nini kutoka kwenye hiyo timu? Vilabu vyetu havina mechi za majaribio za kimataifa zinapata wapi uzoefu Kwa mechi za kimataifa?Vilabu vyetu ZIARA za nje ya nchi kufanya majaribio au mechi iliishashindikana majaribio na klabu ya Igunga ya faraja la 6 unategemea nini?TFF ACHENI Siasa jamani mpira ni sayansi.Poleni Yanga, poleni Simba.
 
Na ifikie pahala watanzania wazinduke,hivi unaanzaje kushabikia simba au Yanga?
Ni wafuatiliaji wa soka au ushabiki Na mazoea tu?
Timu hizi mbili kwa kiwango kipi?
Zilitolewa Zanzibar majuzi Na Ki timu cha Kijijini Ihefu Fc,hadi wengine wakatimua kocha Leo eti wakashiriki kimataifa??!!
Wacha sie tubaki Uefa wa tz endeleeni Na simba Na yanga!!
 
Umekosea sana Mkuu, kwa uelewa wako kucheza na hizo unazoziona
ytimu ndogo ndo chanzo cha Tatizo?
 
Tatizo siyo timu ndogo
Shida ni marefa wakibongo kwa kuzibeba timu hizi.TFF waanzishe superleague ya timu kumi bora,ndipo atafutwe mwakilishi.Mbeleko ndio matokeo take hayo.
 
Back
Top Bottom