kijanamdogo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 231
- 177
Hakika kama TFF haitabadili Mtindo Wa Ligi Yetu basi tusitarajie wawakilishi wetu kwenye michezo ya kimataifa watafika Mbali.Ligi Yetu ni dhaifu sana Kwa mfano Timu zinazishiriki kombe la FA sijui ni za daraja la 6 lakini Leo timu hiyo inacheza na Yanga au Simba unategemea Yanga au Simba itajifunza nini kutoka kwenye hiyo timu? Vilabu vyetu havina mechi za majaribio za kimataifa zinapata wapi uzoefu Kwa mechi za kimataifa?Vilabu vyetu ZIARA za nje ya nchi kufanya majaribio au mechi iliishashindikana majaribio na klabu ya Igunga ya faraja la 6 unategemea nini?TFF ACHENI Siasa jamani mpira ni sayansi.Poleni Yanga, poleni Simba.