Poleni Wakenya

Poleni Wakenya

Half Desert Country.......

A country which can not feed its own people.

A country where hata mahali pa kuzikia lazima ulipie.

Poor Kenya.


Kumbuka hii: pamoja n kuwa jangwa kwa 96%,nchi ya misri inazalisha sukari zaidi ya bongo. Tafakari hiyo kwanza.
Mimi pia nilidhani ni mwekezaji ameweka 800 million $, kumbe msaada tu, yenye watalipa wajukuu ya wajukuu wako .TRADE NOT AID will build Africa.


Data from FAO indicates the biggest
producers of refined sugar in Africa are South
Africa (2.1 million tonnes), Egypt (2 million),
Sudan (710,000), Swaziland (655,000) and
Kenya (592,100).
The industry in Africa should be booming –
the region has four of the five countries with
the highest yields of sugar cane per
hectare. The global average is 78 tonnes per
hectare, but African producers such as Egypt
were clocking 126 tonnes, the second highest
in the world after Peru
Screenshot_2016-06-07-21-28-16.png
 
When grants r properly used there is no problem! Kenya wishes to get the same aid/grant but can not since always disqualified
 
Misaaada inaturudisha nyuma sana... im always ashamed nikiisikia

Hakuna kitu bora kama kujitegemea na akheri mkopo wenye low interest rate kuliko huu upuuzi maana utavigharimu vizazi vijavyo kwa masharti yake..

Nchi hizo zina maskini wengi tu lakini wanakuja kutupa misaada ..hivi wanatupenda saaaana ama ndo tunakaangwa kwa mafuta yetu wenyewe
 
Kunawajinga flani walifurahi sana kutopewa pesa za mcc lakini baada ya hili aibu yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom