Hakuna kuwapa pole hawa.......Mpira ni dakika tisini. Poleni sana Wana Msimbazi ila ninawashauri mtafute kipa. Manula ni mfupi na hawezi mipira kama ile ya leo. Kweli ni masikitiko makubwa.
Hahahahaha.. hawana maana hata kidogo.Hakuna kuwapa pole hawa.......
Gongo wazi katika ubora wake.Simba ni team mbovu zaidi ya ubovu wenyewe. One day watu wataligundua hili.
Ila ilipowafunga jwenang Galaxy kule kwao mlisema Simba imepangiwa timu mbovu.Simba ni team mbovu zaidi ya ubovu wenyewe. One day watu wataligundua hili.
Majivuno hutangukua muangukoMpira ni dakika tisini. Poleni sana Wana Msimbazi ila ninawashauri mtafute kipa. Manula ni mfupi na hawezi mipira kama ile ya leo. Kweli ni masikitiko makubwa.
Hahaaaa....watu wamevurugwa ni hatari.Manula huyu huyu Tanzania one aliyepata tuzo ya golikipa bora juzi tu hapa, leo hii unataka abadilishwe!!