Poleni Wanamsimbazi

Poleni Wanamsimbazi

Manula huyu huyu Tanzania one aliyepata tuzo ya golikipa bora juzi tu hapa, leo hii unataka abadilishwe!!
 
Simba shida yao kubwa ni kocha. Na watakuja kuligundua hilo wakiwa wamechelewa sana.
 
Ahsante laikini kwa sasa habari ya mjini ni liverpool
 
Wamemchuna [emoji16]
JamiiForums416678006.jpg
 
Kama unaniona una hali mbaya.
Mfikirie shabiki wa Simba ambaye anaishabikia Manchester United [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Kwa hiyo wametolewa? na yule mhamasishaji wao mwijaku alisema anatembea uchi
 
Mpira ni dakika tisini. Poleni sana Wana Msimbazi ila ninawashauri mtafute kipa. Manula ni mfupi na hawezi mipira kama ile ya leo. Kweli ni masikitiko makubwa.
Majivuno hutangukua muanguko
 
Back
Top Bottom