Kwaiyo wewe unataka kusemaje labda maana bado cjaitambua statement yako
Wacha waje wenyewe wanaoteseka na mapenzi wajibuKalewe kwanza
Wacha waje wenyewe wanaoteseka na mapenzi wajibu
Mimi niliumia nikiwa na miaka 22 tokea hapo sijui hata kama nampenda mke wangu 🤣🤣🤣sijui kama naweza kupenda..mwaname hahitaji kupenda mwanaume ananunua mana hii bidhaa iko price leble huwezi kupenda kitu inayouzwaNdio maana munakufa nyie… mimi mwenzio nimeachwa nishatangaza kwa watu baada ya mwezi nimesahau wewe sasa itakugharimu Miaka kusahau mwisho wa siku unaishia kujiuaa[emoji23][emoji23]
Mapenzi ya siku hizi ni kuburutana japo wanawake mnateseka sana kuliko wanaume.Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa
Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu
Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh
Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma
Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Bye[emoji23]
Kama hauna tako pole sana, mwanamke tako dada yanguNyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Ukiwa kwa ID yako Og ni mkimya sana.Wewe na wenzio ni Kama kuku siwatakiii
[emoji81][emoji81][emoji81]
Mtihani Sana
the mixed imotions, tones and rhythm of your article tells everything 🐒Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa
Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu
Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh
Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma
Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo
Bye[emoji23]
Mimi niliumia nikiwa na miaka 22 tokea hapo sijui hata kama nampenda mke wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui kama naweza kupenda..mwaname hahitaji kupenda mwanaume ananunua mana hii bidhaa iko price leble huwezi kupenda kitu inayouzwa
Mapenzi ya siku hizi ni kuburutana japo wanawake mnateseka sana kuliko wanaume.
Ndio maana wanawake siku hizi 80% mnachukulika kama chombo cha starehe.
Ila kwa mimi hakuna mbuzi ya kike ya kiswahili ilowahi niliza kisa mapenzi weeeh hakuna.
Ni mwanaume mjinga tu atakae penda bidhaa inayouzwa