Poleni wanaume

Poleni wanaume

Ndio maana munakufa nyie… mimi mwenzio nimeachwa nishatangaza kwa watu baada ya mwezi nimesahau wewe sasa itakugharimu Miaka kusahau mwisho wa siku unaishia kujiuaa[emoji23][emoji23]
Mimi niliumia nikiwa na miaka 22 tokea hapo sijui hata kama nampenda mke wangu 🤣🤣🤣sijui kama naweza kupenda..mwaname hahitaji kupenda mwanaume ananunua mana hii bidhaa iko price leble huwezi kupenda kitu inayouzwa
 
Wanaume siku hizi mapenzi yanawapelekesha mmevurugwa, kutwa kuchwa munawaandama wadada mara singo maza mara bikira mara ombaomba mara haki sawa

Kaka zangu nawapa pole sana hakika mnachanganyikiwa juu yetu

Ex wangu niliambiwa nusu apate kichaa baada ya kuachana na mimi alikesha baa alilelawa mno akanilaani sana…akatafutiwa mwanasaikolojiaaaa akapigishwa somo akakaa fresh

Nasemaje kuachana kwetu yeye alichangiaa kwaiyo sijamuonea huruma

Nyie wanaume tunawapenda ila maneno ya mtandaoni yanawapotezaa hamueleweki mnataka wife ama matrakooo

Bye[emoji23]
Mapenzi ya siku hizi ni kuburutana japo wanawake mnateseka sana kuliko wanaume.
Ndio maana wanawake siku hizi 80% mnachukulika kama chombo cha starehe.
Ila kwa mimi hakuna mbuzi ya kike ya kiswahili ilowahi niliza kisa mapenzi weeeh hakuna.
 
the mixed imotions, tones and rhythm of your article tells everything 🐒
 
Mimi niliumia nikiwa na miaka 22 tokea hapo sijui hata kama nampenda mke wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijui kama naweza kupenda..mwaname hahitaji kupenda mwanaume ananunua mana hii bidhaa iko price leble huwezi kupenda kitu inayouzwa

Mkeo akigawa urodo kwa shabani tutajua Kama ulimpenda ama hukumpenda
 
Mapenzi ya siku hizi ni kuburutana japo wanawake mnateseka sana kuliko wanaume.
Ndio maana wanawake siku hizi 80% mnachukulika kama chombo cha starehe.
Ila kwa mimi hakuna mbuzi ya kike ya kiswahili ilowahi niliza kisa mapenzi weeeh hakuna.

Yupo njia huyo mbuzi tunza hii comment
 
Back
Top Bottom