Poleni Wanayanga kwa misiba ilijitokeza kwa ndugu wa wachezaji na viongozi

Poleni Wanayanga kwa misiba ilijitokeza kwa ndugu wa wachezaji na viongozi

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kupitia mitandao yao ya kijamii, Yanga imetangaza kwamba wamepata misiba miwili ya mchezaji wake mmoja na kocha wao kupoteza wazazi wao.

Katika kumbukumbu zangu za haraka, hii ni baadhi ya misiba iliyowakumba wachezaji na watendaji wa Yanga katika miaka hii 3 iliyopita:

Mwamnyeto - Mke na Mtoto - 01/2021
Metacha - Mtoto - 04/2021
Kibodya (Mjumbe) - Mwenyewe - 05/2021
Diarra - Baba - 08/2021
Gharib - Baba - 2022
Sure Boy - Mtoto - 03/2023
Doumbia - Baba - 04/2023
Kamwe - Mtoto - 10/2023
Mtime - Baba - 11/2023
Kibabage - Baba - 09/2024
Edna (Kocha) - Baba - 09/2024
Mateleke (Mpishi) - Mwenyewe - 11/2024
Chadrack Boka - Baba - 01/2025
Alaa Meskini (Kocha wa Magolikipa) - Baba - 01/2025

Hakika kifo ni fumbo kubwa sana.
 
Pole kwao

Mwamnyeto Ile misiba ilimuathiri sana hadi Leo naamini kwake bado ni fresh wounds

Ila kwa sasa Tanzania ni Mungu atulinde maana sio wao pekee ambao huondokewa na wapendwa wao na wengine wengi Kila kukicha wanapata maswahibu hayo
 
Kupitia mitandao yao ya kijamii, Yanga imetangaza kwamba wamepata misiba miwili ya mchezaji wake mmoja na kocha wao kupoteza wazazi wao.

Katika kumbukumbu zangu za haraka, hii ni baadhi ya misiba iliyowakumba wachezaji na watendaji wa Yanga katika miaka hii 3 iliyopita:

Mwamnyeto - Mke na Mtoto - 01/2021
Metacha - Mtoto - 04/2021
Kibodya (Mjumbe) - Mwenyewe - 05/2021
Diarra - Baba - 08/2021
Gharib - Baba - 2022
Sure Boy - Mtoto - 03/2023
Doumbia - Baba - 04/2023
Kamwe - Mtoto - 10/2023
Mtime - Baba - 11/2023
Kibabage - Baba - 09/2024
Edna (Kocha) - Baba - 09/2024

Hakika kifo ni fumbo kubwa sana.
Umeorodhesha misiba ya watendaji wa yanga pia tuorodheshee misiba ya watendaji wa timu zote za ligi kuu ili maana yako ikamilike, vinginevyo unaweza ukawa ni mjukuu wa mzee magoma umeiga mpaka tabia za Babu yako!
 
Najua unachotaka kusema ila ngoja ninyamaze tu
Ya kwamba kuna kafara na kufuru zinafanyika..? Mbona mnaogopa kusema!
Fikra duni tu mwenye mawazo hayo ukiwa hai tu basi unadeni anytime anyplace unayamwaga!
 
Ya kwamba kuna kafara na kufuru zinafanyika..? Mbona mnaogopa kusema!
Fikra duni tu mwenye mawazo hayo ukiwa hai tu basi unadeni anytime anyplace unayamwaga!
Kwa waafrica ukifa wanasema bwana ametoa bwana ametwaa,kurogwa au kafara
.. ila kwa wazungu lazima wajiulize kama ni serial killer,kansa,chakila,sumu,au ugonjwa mpya,
 
Back
Top Bottom