Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Kafara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba zile supu Zina siri nzito sana.Sema unachotaka kusema basi
😀😀Kuorodhesha misiba kulikuwa na haja gani? Basi weka na orodha ya msiba ya ukooni kwenu au nyie ukoo wenu huwa hamfi?
Mpuuzi huyo, kumbe na wewe umemsoma enh!Sema unachotaka kusema basi
Aisee!Kupitia mitandao yao ya kijamii, Yanga imetangaza kwamba wamepata misiba miwili ya mchezaji wake mmoja na kocha wao kupoteza wazazi wao.
Katika kumbukumbu zangu za haraka, hii ni baadhi ya misiba iliyowakumba wachezaji na watendaji wa Yanga katika miaka hii 3 iliyopita:
Mwamnyeto - Mke na Mtoto - 01/2021
Metacha - Mtoto - 04/2021
Kibodya (Mjumbe) - Mwenyewe - 05/2021
Diarra - Baba - 08/2021
Gharib - Baba - 2022
Sure Boy - Mtoto - 03/2023
Doumbia - Baba - 04/2023
Kamwe - Mtoto - 10/2023
Mtime - Baba - 11/2023
Kibabage - Baba - 09/2024
Edna (Kocha) - Baba - 09/2024
Mateleke (Mpishi) - Mwenyewe - 11/2024
Hakika kifo ni fumbo kubwa sana.
Jamaa ana pumba hatari.Ukiona Uzi wa huyu jamaa basi tegemea pumba tu
Unaleta dhihaka hadi kwenye msibaUpdate:
Baba yake Chadrack Boka amefariki 11/01/2025.
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
View attachment 3200850
Kuna haja Gani kuweka orodha ya misiba ya wafanyakazi wa YangaPokea taarifa bwashee, mengine ukiamua kujiongeza ni wewe usinihusishe mimi kwa kitu kilichopo kichwani mwako.
Mbona kama umepanick? Pokea taarifa, kama una rambirambi fikisha kwa wahusika. Wasiliana na tawi lako la karibu utapewa utaratibu.Kuna haja Gani kuweka orodha ya misiba ya wafanyakazi wa Yanga
Mbona hujaweka orodha ya misiba ya familia yako?
Kama misiba ni mizuri na wewe uwe unafiwa
Kam dauni dia utopolo....Kuna haja Gani kuweka orodha ya misiba ya wafanyakazi wa Yanga
Mbona hujaweka orodha ya misiba ya familia yako?
Kama misiba ni mizuri na wewe uwe unafiwa
Kuwa na hekima mkuuMbona kama umepanick? Pokea taarifa, kama una rambirambi fikisha kwa wahusika. Wasiliana na tawi lako la karibu utapewa utaratibu.