Poleni Wanayanga kwa misiba ilijitokeza kwa ndugu wa wachezaji na viongozi

Kifo ni ahadi kwetu, hakuna atayesalia hivyo hakifai kudhihakiwa kwa kauli hizi.
 
Update:

Mpishi wa Yanga amefariki dunia.

Aisee!
 
Update:

Baba yake Chadrack Boka amefariki 11/01/2025.

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.

Unaleta dhihaka hadi kwenye msiba
Kuwa na utu mkuu
Huu ni mchezo
Usiwe na ushabiki wa kipumbavu
Pokea taarifa bwashee, mengine ukiamua kujiongeza ni wewe usinihusishe mimi kwa kitu kilichopo kichwani mwako.
 
Nilidhani story za kutoa kafara ndugu zao ili calculator ipate moto na kuweza kujumlisha hesabu za chekechea.

Wapunzike Kwa Amani.
 
Pokea taarifa bwashee, mengine ukiamua kujiongeza ni wewe usinihusishe mimi kwa kitu kilichopo kichwani mwako.
Kuna haja Gani kuweka orodha ya misiba ya wafanyakazi wa Yanga
Mbona hujaweka orodha ya misiba ya familia yako?
Kama misiba ni mizuri na wewe uwe unafiwa
 
Kuna haja Gani kuweka orodha ya misiba ya wafanyakazi wa Yanga
Mbona hujaweka orodha ya misiba ya familia yako?
Kama misiba ni mizuri na wewe uwe unafiwa
Mbona kama umepanick? Pokea taarifa, kama una rambirambi fikisha kwa wahusika. Wasiliana na tawi lako la karibu utapewa utaratibu.
 
Mbona kama umepanick? Pokea taarifa, kama una rambirambi fikisha kwa wahusika. Wasiliana na tawi lako la karibu utapewa utaratibu.
Kuwa na hekima mkuu
Huu ushabiki usikutoe utu kufurahia kufiwa Kwa wenzako
 
malizia kuwa, kufanya kazi YANGA AFIRIKA ni mkosi/nux, kwamba wanatoana kafara wao kwa wao.
 
UPDATE:

Baba yake kocha wa Magolikipa amefariki dunia. Poleni sana ndugu zangu wa Yanga kwa msiba mwingine mzito.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…