Poleni wapenzi wa Yanga na Simba

Poleni wapenzi wa Yanga na Simba

meddie

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
434
Reaction score
125
Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka ya Afrika mashariki.

Chanzo: BBC news.
 
Licha ya kupanda nafasi nne hadi nambari 136,Tanzania imeorodheshwa ya chini zaidi na shirikisho la soka duniani FIFA katika soka ya Afrika mashariki.

Chanzo: BBC news.

Azam, timu zingine na wadau wa soka Tanzania haiwahusu?
 
sijaelewa...hebu mtoa post fafanua vizuri lengo lako nini?
 
Mbona muda uliopost ni mzuri tu,saa tano asubuhi umeshabugia viroba!
 
Back
Top Bottom