Polepole aache kuongea ongea, anaboa

Hivi huyu Polepole si yeye alikuwa anayasema haya zamani? nikimwangalia Polepole wa zamani na wasasa ni vitu 2 tofauti kabisa, madaraka haya kwakweli ni zaidi ya ulevi mwingine wowote dunuani hasa Afrika.
 
Nani kakutuma umsikilize?
Ni kihereher chako ndo kinakutafuna, ukimuona anaongea wewe lala mbele uone kama atakuboa.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, hata wewe unaweza kuita waandishi wa habari ukasema unayo ona yana kusumbua, bali usivunje Sheria.
 
CHADEMA ulishajifia zamani kumsingizia Polepole ni chuki binafsi.
 
Unataka kusema NEC, TISS, JWTZ na Polisi waliwashika mikono wananchi ili waichague CCM?
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM labda zezeta tu, kilichofanyika ni CCM kupewa uteuzi kusaidiwa kuipora haki ya wapiga kura na NEC , Wakurugenzi na Polisi
 
Hivi huyu pole pole si yy alikuwa anayasema haya zamani? nikimwangalia pole pole wa zamani na wasasa ni vitu2 tofauti kabisa, madaraka haya kwakweli ni zaidi ya ulevi mwingine wowote dunuani hasa afrika.
Polepole alipogundua mtukufu magufuli anauchukia upinzani ilibidi aunde abuni mbinu za kupiga pesa kutumia fursa hizo, ndipo akaja na mbinu za kuwanunua wabunge madiwani kurudia chaguzi, akapiga pesa ndefu hapo, na baadae akabuni mradi wa kurejesha mfumo wa chama kimoja akatengeneza bajeti kubwa akapewa pesa nyingi mno na huko kapiga sana, CCM inaonekana ya uonevu lakini mnufaika wa ubaya huo ni polepole kwani hujinufaidha kupitia miradi ya kuidhoofisha chadema na kuua upinzani
 
Mungu yupo iko siku yatamrudi tu haya hata kwa familia yake wali maana walioumia na hili ni wengi sana kuliko wanavyo fikiria, Mungu alisema katika vitabu vitakatifu atakisikia kilio cha uma wake.
 
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM labda zezeta tu, kilichofanyika ni CCM kupewa uteuzi kusaidiwa kuipora haki ya wapiga kura na NECCCM Tumeccm, wakurugenziccm na Polisiccm
Umekaririshwa upuuzi. Watanzania wanaona sekta ya afya,elimu ,miundo mbinu, ulinzi na usalama vilivyoimarishwa. Na ndio maana wameipa kura Ccm. Wananchi wamechagua maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…