Polepole aache kutumia jina la Hayati Magufuli kuhalalisha vioja vyake.

Kwa hiyo kwenye utawala wenu hakutakuwa na mahakama wala magereza? Mtu aliyefanya jinai za kutosha akija mtandaoni na kuomba msamaha mtasamehe tu?
Elewa basi na wewe, Mh. Polepole siyo malaika au Mungu, siyo mwema sana ila amekubali kusema "ukiri wake" kuwa CCM imepokwa mamlaka yake na CCM mtandao jambo ambalo lipo wazi kama maji. Na amekuwa tayari kuonesha madhila ya CCM mtandao ndani ya CCM...
Wapi nimesema amekuja kuomba msamaha mtandaoni? Utawala wetu upi?... Unakataa kuwa si kweli CCM imepokwa nguvu yake kama sauti ya Wananchi au?.
 
Hii ya Polepole ndiyo inaitwa "****** uikifa mavi hutawanyika "

Polepole ni mavi
 
Wewe mbona unatumia jina la mama Samia kujinufaisha binafsi
 
Lucifer sio Shetani jaribu kuchimba mambo Japokua una hoja
 
Basi tuseme Polepole ni Jambazi mstaafu akielezea ukweli kuhusu majambazi wenzie ambao wapo katika serikali, ukweli ni kuwa wanajuana vizuri zaidi jinsi wanavyofanya kazi so ameamua kuokoka na kuacha ujambazi na kuutahadharisha umma juu ya majambazi yaliyopo
 
Mr slow slow ataendelea kuwatoa mapangoni mmoja baada ya mwingine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…