Julias Vimvinyira
Senior Member
- Jun 2, 2025
- 155
- 205
Ametumia lugha ya matusi mno kwa chama, wanachama, Serikali na wananchi.hivi unajua tusi.Na likitumika tusi utasema ni nini?.
Shida ya watanzania ukweli unakuwa tusi.
Boni yai kazi unayo mwaka huuChawa mmeamka kwa kuchelewa sana
KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
Hata kama kweli mimi ndiye Bony sasa hapo kuna kazi ganiBoni yai kazi unayo mwaka huu
Ate wewe muhuniKATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
Hamna uwezo wa kuishinda CCM hata kama itaweka karatasi kuchuana nanyiHata kama kweli mimi ndiye Bony sasa hapo kuna kazi gani
Bila watekaji hakuna ccmHamna uwezo wa kuishinda CCM hata kama itaweka karatasi kuchuana nanyi
mwenye petroli alete chap!Moto uchochewe uwake vizuri huko kijani wenye kuni kavu endeleeni kuzileta.
Hata wahuni huzeeka!Kataa wahuni
Wahuni wana serikali yao ndani ya serikali, na hiyo serikali ya wahuni ndiyo yenye nguvu. - Balozi Polepole.Hata wahuni huzeeka!