Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Wahuni wana serikali yao ndani ya serikali, na hiyo serikali ya wahuni ndiyo yenye nguvu. - Balozi Polepole.

KWELI NI WAHUNI. walipewa milioni 3 tatu wakavunja KatibaKATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
Hata wewe ni muhuni tuu maana umeandika uhuni hapa.KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
Acha hizo umeandika maandishi mengi yasiyo na point hata moja, swali kwako polepole kakosea wapi? Kukosoa mchakato haramu wa kuteua jina la mgombea Urais kupitia ccm ni kosa? Acheni uonevu kwa wakosoaji, kuweni wangwana mjifunze kukubali kukosolewa pasipo kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo wale wote wanaowakosoaKATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
ibirisi wa ccm hawataki watu wawazi na wakweli kwani chawaccm huishi kwa uongo uzushi fitna propaganda ili wapige pesa kiulaini toka kwa mkoloni kaburu tokea ZanzibarKasema ukweli mtupu. Hakuna matusi pale!
Uhuni au muhuni si tusi bali ni sifa mbaya unayojitengenezea mtajwa.KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
Hivi ukichelewa haulambi 7000 yako?Chawa mmeamka kwa kuchelewa sana
Baada ya kujifariji ,sasa kasikilize tena clip nzima na ujitafajari.KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
👀🙄🤔KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.

KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.

We jamaa c mwanachama kindaki ndaki?Ccm ni majizi tena hapo mbona hajawatukana
Hujajibu hoja za PolepoleKATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.
Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, mtu aliyepanda juu kupitia migongo ya wanachama hao hao anaowadharau leo. Kauli hiyo haikuwashangaza wengi kwa sababu si mara ya kwanza kuonesha ishara za kujisahau na kutaka sifa kwa njia ya kuropoka.
WanaCCM waliompokea, wakamfundisha, wakamkirimia heshima ya taifa, leo hii wanatupiwa maneno machafu kwa sababu tu hawakumteua mtu anayemtaka. Yeye aliyewahi kusimama majukwaani na kusifia chama kwa kila sentensi, sasa anaona chama hicho hakina maana? Ni wazi kuwa haya si maneno ya hoja bali ni mlipuko wa kinyongo kilichosubiri nafasi ya kulipuka.
Kwa kauli yake, amedhihirisha kuwa dhamira yake haikuwa uaminifu kwa chama bali ni maslahi binafsi. Alipokuwa na nafasi, hakusema chochote kuhusu matukio ya kusikitisha kama kutoweka kwa waandishi wa habari na wanaharakati. Hakulaani, hakushtuka, hakuguswa. Leo anataka aonekane kama mtetezi wa haki na demokrasia ilhali jana alifumbia macho uovu. Ukimya wa wakati ule ni ushahidi wa unafiki wa kisiasa.
Uamuzi wa wajumbe kumpitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais ulifanyika kwa njia halali na kwa maridhiano ya wazi. Kumdharau mgombea huyo ni kuwadhalilisha wajumbe wote waliotimiza wajibu wao kwa mujibu wa Katiba ya chama. Na zaidi, ni jaribio la kutikisa imani ya wanachama kwa chama chao, kwa maslahi ya mtu mmoja mwenye kiu ya umaarufu wa haraka.
Watanzania wanatambua tofauti ya mwanasiasa anayepigania hoja na yule anayepiga kelele baada ya kukosa nafasi. Kauli hii haijengi hoja yoyote, bali inabomoa hadhi ya aliyekuwa nayo. Ukweli unabaki palepale: chama hiki hakisimamishwi na jazba ya mtu mmoja, bali na misingi thabiti ya nidhamu, heshima na umoja.
Wahuni sio watu wazuri, wapo kila mahala, msikitini, makanisani ,sokoni ,barabarani,Kataa wahuni
Chezea wahuni weweKWELI NI WAHUNI. walipewa milioni 3 tatu wakavunja Katiba
Wakati mwingine kukaa kimya nayo ni busara!! Unaposema yapotendeka mabaya hakusema ........unataka kusema yalitendwa na nani? Serikali?CCM? Mnachafua chama kwa kujibu vibaya hoja za watoa hojaKATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”.