Polepole aandika historia ya matusi mazito kwa wanachama wa CCM

KWELI NI WAHUNI. walipewa milioni 3 tatu wakavunja Katiba
 
Hata wewe ni muhuni tuu maana umeandika uhuni hapa.
 
Acha hizo umeandika maandishi mengi yasiyo na point hata moja, swali kwako polepole kakosea wapi? Kukosoa mchakato haramu wa kuteua jina la mgombea Urais kupitia ccm ni kosa? Acheni uonevu kwa wakosoaji, kuweni wangwana mjifunze kukubali kukosolewa pasipo kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo wale wote wanaowakosoa
 
Uhuni au muhuni si tusi bali ni sifa mbaya unayojitengenezea mtajwa.
 
Baada ya kujifariji ,sasa kasikilize tena clip nzima na ujitafajari.
Hawa wenzetu wanaijua Serikali vizuri, ukijidanganya kwa uliyoyaandika ndio unazidi kutunyima nafasi nzuri ya kupata muafaka ...jibu( kama unaweza)hoja tu.
 
👀🙄🤔
 

Kwa hiyo muhuni akikutendea wema tabia zake za kihuni huwa zinafutika?
 
Hujajibu hoja za Polepole
 
Wakati mwingine kukaa kimya nayo ni busara!! Unaposema yapotendeka mabaya hakusema ........unataka kusema yalitendwa na nani? Serikali?CCM? Mnachafua chama kwa kujibu vibaya hoja za watoa hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…