Polepole aandika historia ya matusi mazito kwa wanachama wa CCM

Replies zako nying naona usifia sana hao unaoita majiz
 
Replies zako nying naona usifia sana hao unaoita majiz
Huo msamiati "majiz" katika uga wa siasa unatumika katika namna nyingi. Kuna wakati hutumika kuchafua watu kwa malengo maalum ya kisiasa, angalia usiwe mmoja wa wanaochafua wenzao kisiasa bila uhalisia...
 
Mkuu tukuulize SAMIA kapigiwa kura na nani kule CCM kabla ya kushupaza shingo..?
Kwanini analazimisha akubali watu wachukue form kura zipigwe ndani ya chama kwanza na sio kuwalazimisha watu tena kwenye awamu mpyaa kabisa. Wapo sahihi wanaokataa hili
 
Mkikosa hoja ya kujibu mnakimbilia kusema mmetukanwa! Mbona hakuna tusi hata moja, neno muhuni si tusi, ni sifa unayojijengea mwenyewe.
 
Hakuna uwazi uliotumika kwa boss kuliamuru kusanyiko hilo kumpitisha Samia. Ilifanyika kumfichia aibu ya kushindwa kuchaguliwa akipambanishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…